• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI Ziara ya kikazi ya Mkuu wa Wilaya kata ya Upolo

Posted on: August 16th, 2023

MKuu wa Wilaya ya Nyasa Mh Filberto Sanga tarehe 16/08/2023 amefanya Ziara ya kikazi katika kata ya Upolo Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Lengo la Ziara hiyo ni kushiriki katika shughuli za Ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Upolo ambayo Serikali imetoa TSH milioni 560.5 Kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo ambao unajengwa katika Kijiji Cha Lumalu.

MH.Sanga amewasili katika eneo la Ujenzi saa 4 dk 10 asubuhi akipokelewa na viongozi wa Kata ya Upolo na wananchi.

Akiwa eneo la Ujenzi ameshiriki shughuli mbalimbali za kusafisha eneo la Ujenzi,kuhakiki vipimo vya msingi wa majengo ya madarasa, Utawala na kuzungumza na wananchi.

Akizungumza na wananchi amewapongeza wananchi wa Kata ya Upolo Kwa kushiriki kikamilifu shughuli za kijamii hasa za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Amewataka wananchi washiriki kikamilifu shughuli za Ujenzi wa mradi huo na kuwataka Kuwa walinzi wa Mali zote zilizopo eneo la Ujenzi.

Kwa upande wa wananchi wameipongeza Serikali Kwa kutatua changamoto ya ukosefu wa Sekondari katika kata ya Upolo.

Diwani wa Kata hiyo akizungumza Kwa niaba ya wananchi amesema anawapongeza viongozi wa Wilaya ya Nyasa Kwa kutatua changamoto mbalimbali katika kata hiyo hasa Ujenzi wa shule mpya ya Sekondari katika kata yake Kwa kuwa awali wanafunzi walikuwa wanasoma katika Shule ya Tingi na Kingerikiti na kutembea umbali mrefu.

Amesema atawahamasisha wananchi kufanya kazi Kwa juhudi na wanafunzi wasome Kwa bidii.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.