• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Land and Natural Resource


Mr.Filoteus Komba-Head of Department


DIRA NA LENGO LA IDARA YA ARDHI

DIRA:

Kusimamia mipango ya matumizi bora ya ardhi,  kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii na kuhakikisha kunakuwa na matumizi sahihi na endelevu ya maliasili.

LENGO: 

Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi.

Majukumu makuu ya kitengo: kuandaa michoro ya mipango miji, kufanya uthamini wa mali, kupima viwanja, kuandaa michoro , Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa sera ya taifa ya ardhi,taratibu, kanuni na sheria za ardhi, na kutoa hati za umiliki wa ardhi.

Majukumu mengine katika vitengo vidogo: 

kitengo cha ardhi kina vitengo vidogo vipatavyo vitano. Vitengo hivyo ni:- utawala/ardhi, upimaji, mipango miji, uthamini na urasimu ramani. Majukumu ya vitengo hivyo ni kama ifuatavyo:-

sehemu ya Utawala/Ardhi: 

Kufanya shughuli zote za umilikishaji ardhi mijini na vijijini.

Kuhimiza na kusimamia ukusanyaji wa kodi za ardhi katika wilaya.

kuandaa nyaraka za kisheria za kuhamisha, kurekebisha, kurejesha na kumilikisha ardhi.

Kusimamia na kuhakikisha taratibu za utwaaji ardhi zinfanyika kwa mujibu wa sheria

Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa sera ya taifa ya ardhi ya mwaka 1995, taratibu, kanuni na sheria za ardhi.

Kufuatilia na kuhimiza uendelezaji wa ardhi viwanja na mashamba.

Kufuatilia wakiukaji wa sheria za ardhi na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Sehemu ya Upimaji na ramani:(survey and mapping)

Kupima maeneo yaliyoandaliwa michoro ya mipango miji yaliandaliwa

Kuingiza taarifa za Upimaji (alpha numeric data) kwenye kompyuta.

  • Kukagua kazi za upimaji na kuingiza taarifa za kazi zilizothibitishwa kwenye komputa.
  • Kufanya upimaji picha (aerial triangulation and block adjustment);
  • Kuandaa vikosi kwa ajili ya kuhuisha ramani (map revision)
  • Kutunza kumbukumbu za picha za anga.
  • Kusimamia na kuchukua vipimo vya tide gauges.
  • Kufanya kazi za nje ya Ofisi (field survey operations) chini ya usimamizi wa mpima aliyesajiliwa.
  • Kufanya maandalizi ya uchoraji wa ramani za miji kadri ya uwiano unaohitajika.
  • Kutunza kumbukumbu za ramani na plani.
  • Kuchora plani za hati miliki, upimaji, mashamba na vijiji.
  • Kutoa nakala za plani za hati za viwanja, mashamba na vijiji.

Sehemu ya Mipango miji:

  • Kudhibiti maendeleo ya ujenzi mijini kulingana na mipango miji(Urban development control)
  • Kuandaa mipango ya kina katika maeneo yaliyoiva kimipango miji.
  • Kuandaa mipango ya kina katika maeneo yaliyoendelezwa kiholela(Regularization schemes).
  • Kuchambua takwimu na taarifa kwa ajili ya maandalizi ya mipango mipya ya makazi.
  • Kupokea na kuweka kumbukumbu za maombi ya mabadiliko ya matumizi ya ardhi na umegaji wa viwanja.

 

Sehemu ya Uthamini:

  • Kukusanya taarifa za utafiti na mwenendo wa soko la ardhi.
  • Kuhakiki kumbukumbu za utafiti na kuziingiza kwenye kompyuta.
  • Kufanya uthamini wa mali.

 

Shughuli/kazi za idara zitakazofanywa na idara kwa kipindi cha 2015/2016:

  • Kupima viwanja  kwa matumizi mbalimbali kama vile makazi 600 (makazi pekee na makazi na biashara)
  • Kuchonga barabara za mitaa kulingana na michoro ya mipango miji katika maeneo yaliyoendelezwa kiholela.
  • Kuandaa michoro ya mipango miji katika maeneo yaliyoiva kimaendeleo.
  • Kuandaa michoro ya mipango miji katika miji midogo.
  • Kutoa elimu inayohusu mipango miji na vijiji.
  • Kuzuia uendelezaji holela wa ardhi.

 

Fursa za uwekezaji:

  • Kuwepo kwa wataalamu wa kutosha kitengo cha ardhi.
  • Ardhi ya kutosha ambayo haijaendelezwa.
  • Uwepo wa maeneo yaliyopangwa kimipango miji kwa matumizi ya hotel, maduka makubwa(shoping mall), vituo vya mafuta, nyumba za biashara(apartment), viwanda vidogo vidogo, shule, hospitali n.k
  • Wilaya ya Nyasa imezungukwa na ziwa Nyasa ambalo limetengeneza fukwe nzuri za kuvutia watalii.
  • Fursa za kuwekeza katika shughuli za uvuvi pia kuna samaki wa mapambo.
  • Miundo ya barabara ya uhakika baina ya nchi ya Malawi, Msumbiji na Mkoa wa Mbeya, Njombe na Wilaya ya Mbinga.
  • Miundo mbinu ya maji imesambazwa katika Wilaya hivyo kurahisisha upatikanaji wa maji safi katika Wilaya.

Kitengo cha maliasili

  • Usimamizi wa maliasili;
  • Usimamizi wa wa hifadhi ya misitu dhidi ya uharibifu wa misitu.
  • Kutoa elimu ya upandaji miti pamoja kusimamia.
  • Kuanzisha bustani za miche ya miti na kuotesha katika maeneo mbalimbali na kuhamasisha wananchi kupanda miti kwa kuwapatia mbegu na miche.
  • Kufanya doria ili kukamata watu wanaosafirisha/kutumia mazao ya misitu bila kufuata taratibu za kisheria.
  • Kusimamia hifadhi za wanyamapori dhidi ya ujangili.
  • Kulinda wananci na mali zao dhidi uharibifu wa mali unaofanywa na wanyama pori.
  • Kusimamia na kuelimisha wananchi juu ya ufugaji wa nyuki na namna ya kupata mazo bora ya nyuki.
  • Kusimamia shughuli za kitalii kwa kuboresha maeneo yakitalii yaliyopo, kuainisha maeneo yafaayo kwa utalii na kuyalinda pamoja na kuyatangaza ndani na nje ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.