• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

Posted on: July 12th, 2025

Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeanza zoezi la utoaji wa chanjo za Mifugo kwenye kata kwa lengo la kutokomeza majonjwa ya mlipuko yanayoiandama Mifugo ifugwayo ikiwa ni mpango mkakati wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kutokomeza magonjwa hayo kutoka asilimia 21 hadi 70.

Afisa mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Dkt. Jacob Stephen Madondolah ameeleza kuwa zoezi limeanza mapema Juni 29, 2025 na linaendelea kwenye kata 15 kati ya 20 ambapo jumla ya kuku 165,624 wanategemea kupata chanjo dhidi ya  magonjwa ya Kideri, Mafua na Ndui ikiwa ni utekelezaji wa sheria ya afya ya Mifugo Na.17 ya Mwaka 2003

Aidha, Dkt. Madondolah ametoa rai kwa wafugaji kutoa ushirikiano kwa wataalam wa chanjo kwenye  maeneo yao ili kufanikisha zoezi la uchanjaji linalolenga kuboresha afya za Wanyama na kuongeza thamani  ya mazao ya mifugo sokoni yatokanayo na mifugo hiyo.

Dkt. Madondolah amezitaja kata zinazoendelea na zoezi la uchanjaji kuwa ni Lituhi, Liuli, Liparamba, Tingi, Mpepo, Lipingo, Linga, Upolo, Ngumbo, Kihagara, Luhangarasi, Liwundi, Mbaha, na Mipotopoto na kwamba zoezi litaendelea kwa kata zote 20 za Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

Zoezi la uzinduzi wa chanjo na utambuzi wa Kitaifa ulifanyika tarehe 16 Juni, 2025 kwenye kata ya Nyakabindi Mkoani Simiyu ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan huku ikichagizwa na kauli mbiu isemayo “Tokomeza Magonjwa ya Mifugo ili kuongeza uzalishaji na kuwezesha bidhaa ya mifugo na Mazao yake ndani na nje ya nchi”

Kwa mujibu wa takwimu za Mifugo kutoka divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi,Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa ina jumla ya Ng’ombe 22,883, Mbuzi 39,585, Kondoo 5,664 na Kuku 165,624.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.