• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

NYASA YAADHIMISHA SIKUKUU YA NANE NANE KWA BONANZA LA MICHEZO

Posted on: August 8th, 2020

Timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, leo imefanya bonanza la michezo kwa kushirikiana na Shule ya Sekondari ya Mbambabay, bonanza lilifanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi kilosa Wilayani hapa.

Michezo iliyofanyika ni Mpira wa miguu kwa wanaume,  na mpira wa pete kwa wanawake,  na mpira wa wavu kwa wanaume.

Matokeo ya mpira wa miguu ni, Timu ya soka ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa imeibuka kidedea kwa kuifunga goli moja timu ya mpira wa miguu ya Sekondari ya mbamba bay  goli lilowekwa kimiani na Amili Kitambi dk ya 75 ya Mchezo.

Matokeo ya mpira wa pete timu ya halmashauri imeshinda goli 7 kwa tatu, na kwa mchezo wa wavu timu ya Mbamba bay imeibuka kidedea kwa kushinda seti zote tatu.

Baada ya Mchezo huo afisa michezo wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa amesema amefurahishwa na bonanza hilo lililowafanya watumishi, wanafunzi na wananchi kufurahi kwa pamoja kwa siku ya leo na ametoa wito kwa timu zingine ziweze kuomba kucheza michezo ya kirafiki kwa lego la kuimarisha afya, mahusiano,na kufrahi kwa pamoja.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.