• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

MILIONI 41.6 za mikopo, zatolewa Wilayani Nyasa

Posted on: September 1st, 2021

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana Agosti 31, imetoa Tsh milioni 41.6  kwa ajili ya  kukopesha vikundi 14 vya wajasilamali, wanawake, vijana na walemavu ikiwa ni asilimia kumi (10%) ya mapato ya ndani ya Halmashauri kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021.

Akiongea na wanufaika wa mikopo hiyo ofisini kwake, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa, Ndugu Jimson Mhagama amewataka wanavikundi,  kuzitumia fedha hizo vizuri kwa ajili ya kuboresha shughuli mbalimbali za kiuchumi, ili waweze kuzirudisha kwa wakati kwa kuwa fedha hizo ni za Selikali na hutolewa bila Riba, na zinatakiwa kurudishwa kwa kufuata mkataba.

“Halmashauri imetoa mkopo kwenu, mnatakiwa kuutumia vizuri kwa kuboresha biashara zenu na sio kutumia kwa mambo yenu binafsi,na Fedha hizi zinatakiwa kurudishwa ili ziweze kutolewa kwa vikundi vingine na zimeshaingizwa kwenye akaunti zenu benki”.Alisema.

Mhagama amefafanua kuwa, Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, kwa mwaka wa Fedha wa 2020/2021, imetoa mikopo yenye thamani ya Tsh milioni 41.6 kwa vikundi 14  vya wanawake,Vijana na Walemavu kwa mchanganuo ufuatao, wanawake (milioni 19) Vijana (milioni 15.6) na walemavu ni (milioni 7)

Amevitaja Vikundi vya wanawake vilivyopewa mikopo hiyo kuwa ni wanawake,Muungano (Kata yaLipingo ), Mtendele (Kata ya Liuli), Amini (Kata ya Kilosa), Jemaje (Kata ya Tingi), Upendo kihurungu (Kata ya Mpepo) na Uwakili (Kata ya Lituhi).

Vikundi vingine vilivyo pewa mkopo ni vikundi vya vijana ambavyo ni Amasa Group kata ya Lipingo ,Likwilu Youth Agro Group kata ya Kilosa,Ndanda Group kata ya Kingerikiti, Fahari Yetu kata ya Kihagara, Muungano Development Fun MODEF kata ya luhangarasi na Kisasa kata ya Luhangarasi.

Kundi la mwisho ni kundi walemavu ambalo fedha zimegawanywa kwa vikundi vya kata mbili ,vikundi hivyo ni Walemavu Ndondo, kata ya Liparamba na Tukomboe kata ya Kihagara.

Ametoa wito kwa wananchi wa kata zote za wilaya ya nyasa kuunda vikundi vya wajasiriamali iliwaweze kufanya biashara zao.

Baadhi ya wanufaika wa mikopo hiyo,wameipongeza Halmashauri ya Nyasa kwa kuwapatia mikopo hiyo kwa sababu inawasaidia katika shughuli za kuendeleza biashara zao,kwa kuwa walikuwa na uhitaji.

“Tunafurahi kwa kupata mkopo huu kwasababu unatunufaisha sana,na kupitia mkopo huu utanisaidia katika shughuli za uvuvi wa samaki na dagaa na baadae ufugaji” alisema mwenyekiti wa kikundi cha walemavu kata ya Kihagara, bwana Casper Ndimbo.”

Imeandaliwa na Netho c. sichali na Lilian Ngwavi (UoI)

Afisa habari Nyasa dc

0767417597

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • View All

Video

HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA UJENZI NA USANIFU BANDARI YA MBAMBA BAY
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.