• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA AFYA,MAENDELEO YA JAMII,JINSIA,WAZEE NA WATOTO MH. HAMISI KIGWANGALLA (MB), WILAYANI NYASA

Posted on: July 15th, 2017

Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Dkt. Hamisi Andrea Kigwangalla Tarehe 15-07-2017 amefanya ziara ya kutembelea Wilaya ya Nyasa na kuzungumza na Wananchi wa Mji wa Mbamba bay.

Kabla ya kufanya Mkutano na wananchi wa Mbamba bay Naibu Waziri alifika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa iliyopo eneo la Kilosa na kusomewa Taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Nyasa. Akisoma taarifa hiyo Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabella Chilumba alimwambia Naibu waziri kuwa Wilaya kwa kushirikiana na Mh.Mbunge wamejitahidi kuboresha huduma za afya katika kituo cha afya cha Mbamba bay ili kuwaondolea adha wananchi hasa wakati huu ambao Mji unakua kwa kasi ambapo katika siku za hivi karibuni tumeweza kujenga jengo la Upasuaji na Wodi ya akina mama wajawazito na huduma za upasuaji zimeanza kutolewa baada ya kuzinduliwa na Mwenge wa Uhuru tarehe 07-05-2017.

Aidha Wilaya imekuwa ikikabiliana na changamoto kadhaa katika utoaji wa huduma za afya ambapo alimwambia Naibu Waziri changamoto hizo ni pamoja na Ukosefu wa Hospitali ya Wilaya, Ukosefu wa Magari ya kutosha kwa ajili ya Wagonjwa na shughuli mbalimbali za idara ya Afya .

Akizungumza na wakazi wa Mbamba bay Dkt. Kigwangalla aliwashukuru wananchi kwa ukarimu wao na kwa mapokezi mazuri, lakini pia aliwashukuru kwa kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. John Pombe Magufuli kwa shughuli anazoendelea kuzifanya kwa manufaa ya wananchi ya Tanzania, aidha alimpongeza Mbunge wa Nyasa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Eng.Stella Manyanya  kwa namna anavyoshirikiana na wananchi wake katika kuhakikisha Nyasa inakuwa na maendeleo .

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.