• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

ZIARA ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Wananchi wamkubali

Posted on: May 10th, 2023

YALIYOJIRI ZIARA YA MKUU WA WILAYA YA NYASA MH FILBERTO SANGA

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Filberto Sanga Tarehe 7 na 8, amefanya Ziara ya kikazi ya siku mbili kwa kutembelea Kata 5 za Mipotopoto,Mpepo,Lumeme,Upolo na Luhangarasi zilizopo Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa, Akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama,Wakuu wa Taasisi,Divisheni na Vitengo.

Lengo la Ziara hiyo ni Kujitambulisha, kukagua Miradi ya Maendeleo,kutangaza miradi ya maendeleo iliyotekelezwa Kata Husika,Kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Akiwa kata ya Mipotopoto aliwaambia wananchi Kero ya Barabara ameiona kwa macho baada ya kukwama kwa gari la polisi ambalo lilikuwa likiongoza msafara wake, kwa muda wa masaa 2 hivyo akasema kero Tayari ameichukua, na anaendea kuwasiliana na Meneja wa Wakala wa Barabara (Tanroad) Mkoa wa Ruvuma kwa Utekelezaji, Aidha wananchi waliomba Mnada kufanyika kila mwezi katika kijiji cha chao jambo alilowajibu kiusalama bado nchi ya msumbiji haijakaa vizuri kiusalama hivyo mnada hautawezekana, kwa sababu watu wengi kutoka nje ya nchi wanafika hivyo huwezi jua nani mbaya nani mzuri.n a Katika upande wa elimu ametembelea shule ya Sekondari ya Mitomoni ambapo amewaambia waendelee na kazi za ujenzi na Serikali itaona namna ya kuchangia.

Katika Kata ya Mpepo Wilayani Nyasa wananchi wamempongeza kwa kazi nzuri hasa kwa kuwatengenezea barabara ya Luwindo Darpor na kusema kuwa wanachangamoto ya Maji, na ukarabati wa Zahanati ambapo Mkuu wa Wilaya ya  nyasa amewajibu kuwa suala la maji linafanyiwa kazi na Muda sio mrefi kazi ya kuleta maji itaendelea na Zahanati ameichukua anaenda kuifanyia kazi.

Kata ya Lumeme alikagua Mradi a madarasa matatu ya Mradi wa Boost na nyumba za walimu ambapo amempongeza Mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa utekelezaji wa Mradi huo.Katika Mkutano wa Hadhara Wananchi walimpa kero ya Askari Polisi wanawasumbua na kuwapiga faini nzito pindi wanaposafirisha mazao yao.

Akijibu hoja hii kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mkuu wa Jeshi la Polisi Wilayani Nyasa Mgonja amesema wananchi wanatakiwa kuzingatia sharia za usalama barabarani kwa kuwa sharia zimewekwa ili zitumike na wasimamizi wa sharia za usalama barabarani ni Askali wa usalama barabarani hivyo jeshi hilo lazima lizingatie sharia.amewataka wananchi kutii sheria.

Katika kata ya Upolo wilayani Nyasa mkuu wa wilaya aamekagua ujenzi wa kituo cha Afya upolo na kuzungumza na wanachi ambao wamempongeza kiongozi huyo kwa kutekeleza miradi ya maendeleo haya ujenzi wa kitio cha afya na Usajili wa shule ya sekondari Upolo kwa kuwa wanafunzi walikuwaa wakitembea umbali mrefu kutoka upolo kwenda kusoma kata jirani ya Kingerikiti,au tingi.

Katika Kata ya Luhangarasi wananchi walitoa kero ya umeme maji na malipo ya TASAF ambapo mkuu wa Wilaya aliwajibu kuwa kwa sasa lengo la serikali ni kufikisha umeme katika vivi na tayari vijiji 2kati ya 4 vimepata umeme na viwili mkandarasi anaendelea na kazi wakati suala la maji nalo amelichukua litashughulikiwa na kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.

Aidha amewapa namba ya simu wananchi ili kukiwa na tatizo ampigie mara moja tunamponeza Mkuu wa Wilaya ya NMyasa kwa kufanya ziara hii.

Imeandaliwa na

Netho Sichali

Kaimu Mkuu wa Kitengo ca mawasiliano Serikalini

Wilaya ya Nyasa

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.