• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI Zira ya mhe. Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kata ya Lumeme

Posted on: March 11th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri Afanya Ziara ya Kikazi Katika Kata ya Lumeme

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mhe. Peres Magiri, amefanya ziara ya kikazi katika Kata ya Lumeme, ambapo ametembelea vijiji vya Kikole na Lindi, wilayani Nyasa. Lengo kuu la ziara hii ilikuwa ni kusikiliza na kutatua kero za wananchi.

Akiwa katika kijiji cha Kikole, Mhe. Magiri amekagua ujenzi wa madarasa matatu yaliyojengwa kwa nguvu za wananchi. Amewataka wananchi kuendeleza juhudi zao katika ujenzi huo na pia kutoa wito wa kuanzisha harambee ili kukamilisha ujenzi wa madarasa hayo.

"Serikali inaunga mkono jitihada hizi, na tutahakikisha kuwa kila juhudi inafanyika ili kukamilisha miradi hii kwa manufaa ya watoto wetu," alisema Mhe. Magiri.

Mkuu wa Wilaya pia amekubali kero za wananchi, wakiwemo ambao walilalamikia ukosefu wa umeme katika vitongoji vyao. Amesema kuwa Serikali imejizatiti katika kutekeleza mpango wa kupeleka umeme katika kila kijiji, huku akiongeza kuwa awamu inayofuata itahusisha vitongoji. Aidha, ameeleza kuwa kero ya barabara kutoka kilosa-mtipwili- Lumeme pia itapatiwa ufumbuzi kwa haraka.

Katika kijiji cha Lindi, wananchi walimpongeza Mhe. Magiri kwa kutembelea kijiji hicho, kwani amekuwa kiongozi wa kiserikali kuja kwa mara ya kwanza tangu uhuru. Walitaja hatua zilizochukuliwa na Serikali katika kutatua changamoto zao, ikiwemo ujenzi wa barabara, kuleta umeme,ujenzi wa shule na kuboresha mawasiliano ya simu kwa kufika mtandao wa simu wanaishukuru sana serikali.

 Hata hivyo, wananchi hao wameeleza changamoto zilizobaki, ikiwa ni pamoja na ukosefu wa zahanati na maji, huku wakisema wanaimani kuwa Serikali itatatua changamoto hizo kama ilivyofanikiwa kutatua zile changamoto kubwa za umeme, barabara, na mawasiliano.

Mhe. Magiri ametoa wito kwa wananchi wa Nyasa kufanya kazi kwa bidii, kulinda amani, na kuwa wazalendo kwa kuipenda nchi yao. Aliwashauri pia kushiriki kwa kiasi kikubwa katika shughuli za ujenzi wa taifa ili kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa kila mmoja. Amewataka kuwa kwa umoja na juhudi za pamoja, changamoto zote zinazowakabili wananchi zitapatiwa ufumbuzi wa kudumu.

Ziara hii ya Mhe. Magiri inadhihirisha dhamira ya Serikali ya kuhakikisha maendeleo yanawafikia wananchi wote, huku ikizingatia mahitaji yao ya msingi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.