• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI Ziara ya Naibu Waziri Maliasili Nyasa

Posted on: July 28th, 2021

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii  Mh. Mary Masanja,(Mb) yuko wilayani Nyasa  kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili.

Ameanza Ziara yake jana kwa kutembelea Kata ya Liparamba na Kata ya Mpepo, akiwa Katika Kata ya Liparamba Wilayani Nyasa amefanya, Mkutano wa Hadhara katika Kijiji cha Mseto wenye lengo la kutatua changamoto ya Mipaka ya Poli la Akiba la Liparamba na Wananchi wa Kijiji cha Mseto Wilayani hapa.

Naibu waziri Masanja, amewataka wananchi wa Kata ya Liparamba Kutunza Mipaka ya Poli la akiba la Liparamba kwa kuwa ni urithi wa Vizazi Vijavyo, kwa kuwa lengo la Wizara ya Maliasili na Utalii kuhifadhi mazingira ni kuhakikisha wananchi wanakuwa na huduma mbalimbali kama vile kutunza vyanzo vya maji safi na salama, na miti pia huleta mvua  pamoja na uwepo wa hewa na wanyama ambao ni urithi wa Vizazi Vijavyo.

Aidha katika Kuhakikisha changamoto ya Mipaka inaisha amesema ataunda tume maalum itakayowashirikisha wananchi na kwa ajili ya kuhakiki mipaka upya.

Ametoa wito kwa wananchi wa kata ya Liparamba kulitunza pori hilo kwa kuwa ni urithi wa Vizazi vijavyo.

Katika Kata ya Mpepo Naibu waziri huyo Alitembelea Shamba la miti Mpepo ambalo lina Hekta 3905 linalosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ,amewapongeza wakala wa misitu kwa kuwa na shamba zuri na kwapongeza wananchi waliopanda miti na kuwataka wananchi waendlee kupanda miti kwa kuwa mbegu wanapata bure ili waweze kuongeza kipato cha kaya na Halmashauri kwa ujumla.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.