• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI, Wilaya ya Nyasa ikiwasilisha Utekelezaji wa Ilani ya CCM,Halmashauri Kuu (CCM) Wilaya ya Nyasa.

Posted on: September 12th, 2022

Yaliyojiri Wilaya ya Nyasa Ikiwasilisha utekelezaji wa Ilani ya CCM 2021/2022 kwa kamati ya siasa Wilaya ya Nyasa.

 Wilaya ya Nyasa Tarehe 12.09.2022, imewasilisha Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kwa Halmashauri kuu ya Chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa, katika Ukumbi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi katika Kikao hiki ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho,ameipongeza Wilaya ya Nyasa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM vizuri, kwa kuwa amekuwa akitembelea miradi yote inayotekelezwa na Serikali na kuridhishwa nayo.

Ameitaka kamati ya Siasa kutosubiri vikao na kuhakikisha kuwa Miradi yote inayotekelezwa katika maeneo yao aliewataka wananchi kushirikiana na wataalam ili kujiletea maendeleo.Aidha amewataka wana CCM kushikamana kwa kujitegemea kwa kulipa michango ya uanachama.

Akiwasilisha utekelezaji wa  Ilani ya CCM Wilaya ya Nyasa, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Aziza Mangosongo amesema Wilaya ya Nyasa imetekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi kwa mafanikio makubwa ,Miradi na akaitaja baadhi ya miradi ya kujivunia katika Halmashauri ya Nyasa ni Chuo cha ufundi stadi VETA,Sekta ya Afya ni Hospitali ya Wilaya na Vituo vya afya vya kingerikiti na Liparamba na Zahanati ya Lundu jangwani na Chimate,na madarasa katika Sekta ya Elimu.

Akizungumza mara baada ya kusomewa utekelezaji wa ilani ya CCM 2021/2022 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Nyasa Fidelis Duwe amesema wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Wilaya ya Nyasa imeridhishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na Kumpongeza kwa Dhati Mbunge wa Jimbo la nyasa Mhandisi Stella Manyanya na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuipa Wilaya ya Nyasa Fedha za kuekeleza Miradi Mbalimbali ya Maendeleo.

Ameongeza kuwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya ni mfano wa kuigwa katika kuwaletea wananchi maendeleo,na kama chama wanalitambua hilo na wanamtia moyo aendelee na moyoo huu.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.