• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI UHAMASISHAJI KAMPENI YA " NYUMBA NI CHOO" WILAYANI NYASA

Posted on: May 21st, 2021


Kampeni ya Nyumba ni choo yenye lengo la kuhakikisha nyumba zote Wilayani Nyasa zinakuwa na vyoo bora na vya kisasa Imefanyika kwa Siku Mbili, Mbamba bay Wilayani hapa.

Kampeni hii imeongozwa na Balozi wa Kampeni ya Nyumba ni choo, Msanii Mrisho Mpoto amewahamasisha wanajamii na kuwa eleza umuhimu wa kuwa na Vyoo bora,  kuwa Msafi,kuzuia magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu, kuhara na Magonjwa ya Tumbo.

Kampeni hiyo imepambwa na Ligi ya Mpira wa Miguu ambayo imeshirikisha Timu Nne zenye mashabiki wengi , Wilayani hapa za Kilosa, na Mbamba bay ambazo ni Mhalo beach fc, Sido fc,Stand Fc na Bodaboda fc.

Siku ya Jana ilikuwa ni kilele cha Kampeni ya Nyumba ni Choo iliyofanyika Mbamba bay, ikianza na Mchezo wa kutafuta mshindi wa Tatu ambapo Timu ya Mhalo Beach Imeshinda ikiitoa Timu ya Stand wakati Timu ya Sido fc ya Kilosa imekuwa Mshindi wa Kampeni hiyo kwa kuitoa Timu ya Bodaboda Fc Kwa mikwaju ya penati 4 kwa 3.

Mra baada ya kukamilika kwa Mashindano hayo kulikuwa na Mbio fupi za Mchaka mchaka kuanzia Uwanja wa polosi kuzunguka Roundabauti hadi Stand ya Mbamba bay.

Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mh. Isabela Chilumba ambaye Alizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Nyasa Ameishukuru Serikali kwa kuhamasisha wananchi wa Wilaya hii, na Kuwaambia wanatakiwa kuhamasika na kutengeneza vyoo  bora vya kisasa.

Wananchi wameipokea kampeni ya Nyumba ni Choo ambapo wamesema watahamasishana na wananchi wenzao hasa wanaoishi vijiji wahamasike na kujenga   Vyoo bora.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.