• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI ufunguzi wa Tamasha la Utalii Nyasa

Posted on: July 12th, 2022

YALIYOJIRI UFUNGUZI WA TAMASHA LA UTALII NYASA.

HALMASHAURI ya Wilaya ya Nyasa kwa kushririkiana na wadau wa Maendeleo ya Utalii, Wilaya ya Nyasa wanaoishi Dar es salaam na Sehemu zingine, tar 12.07.2022  wamefanya, Tamasha la Utalii lenye lengo la kutangaza Utamaduni wa wanyasa na Vivutio vya Utalii Wilayani hapa.

Mgeni Rasmi katika Tamasha Hili la Utamaduni alikuwa Ni Kaimu Katibu Tawala Wilaya ya Nyasa Bw, Paul Lugongo, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, Aliwashukuru wadau wote walioandaa Tamasha hili kwa lengo la kutangaza Utamaduni wa Wilaya ya Nyasa.

Amewataka wananchi kuendelea kutangaza Vivutio vya Utalii vilivyopo Wilayani Nyasa ukizingatia, Nyasa tuna Vivutio vingi vya Utalii ambavyo havipatikani sehemu nyingine, kama vile Ziwa Nyasa. Fukwe nzuri za Ziwa Nyasa Samaki wa Mapambo Ngoma za asili, Jiwe la Pomonda,Milima ya Livingstone na Vivutio vingine.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama amewashukuru wananchi wote wa Wilaya ya Nyasa kwa ushirikiano wa kutangaza Utalii Wilayani.

Amempongeza mwandaaji wa Tamasha  Bi Aneth anania Ambaye anaishi Dar es salaam, kwa kurudi nyumbani Nyasa na kutangaza Vivutio vya Utalii na kuwataka Wanyasa wengine wahamasike ili watangaze Utalii wa Wilaya ya Nyasa.

Kwa Upande wake Mwandaaji wa Tamasha hilo,Mkurugenzi wa Tamasha  Aneth Anania amewapongeza wananchi na Viongozi wote wa Halmashauri ya Nyasa kwa kumpa ushirikiano na kufanikisha Ufunguzi wa Tamasha Hilo ambalo killele kitafanyika Mwezi wa Tisa, amesema kwa wakazi wa Nyasa wanaoishi mbali inakuwa vigumu kuamini maendeleo yanayofanyika Nyasa lakini kwa yeye inakuwa ni rahisi kuwaambia kuwa hali ya maendeleo kwa sasa iko vizuri Umeme upo barabara nzuri na Miundombinu minginne ipo

Ametoa rai kwa wakazi wa Nyasa wanaoishio Mbali na Nyasa waje kufanya uwekezaji na Utalii kwa kuwa Nyasa ya sasa sio ile ya zamani na Fursa zipo.

Tamasha limeanzia kwa maandama na ngoma ya Asili ya Lindeku kuanzia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa iliyopo Kilosa hadi Mbamba bay na Kupanda Mlima Mbamba na Kuangalia Mandhari nzuri ya Kilele cha Mlima Mbamba,Kisiwa cha Mbamba bay na kuteremka khadi katika Fukwe za Mhalo.

Katika Fukwe za Mhalo Ufunguzi wa Tamasha hilo ulipambwa na Ngoma mbalimbali za Asili za Kioda kutoka Chiulu Linda Mganda kutoka Kihagara Lindeku Linda naKikundi cha Ngoma ya Muhambo kutoka ukuli Kata ya Kingerikiti Tarafa ya Mpepo Wilayani Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.