• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI Mbio maalum za mwenge wa uhuru leo tar 05/9/ 2021 Wilayani Nyasa

Posted on: September 5th, 2021

Yaliyojiri Mbio maalum za mwenge wa Uhuru 2021 leo  05.09.2021 Wilayani Nyasa.

Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru zimekimbizwa leo Wilayani Nyasa kwa kutembelea na kuzindua Miradi 7, na yafuatayo ni yaliyojiri.

Mwenge wa Uhuru umepokelewa leo  katika Kijiji cha Mkalole, makabiziano yamefanyika  kati ya Mkuu wa Wilaya ya Mbinga  Mhe Aziza Ally Mangosongo na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas, na mara baada  ya makabiziano  Mbio hizi maalumu zilitembelea , Hospitali ya Wilaya ya Nyasa na Kutembelea Mfumo wa Got Homis ulio gharimu kiasi cha Tsh 33,719,864.70. kisha Kiongozi wa Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru 2021 Luten Josephine Paul Mwambashi , ameridhia na kufungua mradi huo.

Mradi wa pili kutembelewa na Mbio  Maalum  za Mwenge wa  Uhuru ni Mradi wa maji wa Likwilu ambao  umetembelewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru na kugharimu kiasi cha Tsh3000,000,000. na ameridhia kufungua mara baada ya kutembelea mradi huo.

Mradi wa Shamba darasa la Michikichi ambalo limegharimu kiasi cha Tsh 6,945,350.00. Kiongozi huyo amewapongeza na kuwa hamasisha wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuongeza uzalishaji wa zao la Michikichi ili liweze kuwa zao la kibiashara Wilayani Nyasa hasa kwa upandea wa Mwambao mwa Ziwa Nyasa ambalo hustawi vema zao Hilo.

Mradi wa Chuo cha Ufundi Stadi Veta Nyasa mara baada ya Kutembelea mradi huu Mbio hizi maalum za Mwenge wa Uhuru haujaweka Jiwe la Msingi kwa sababu  zifuatazo, Kutokuwa na Nyaraka zote za Mradi, Kutokuwa na uwiano wa Fedha iliyotumika na Mradi husika kama Kibanda cha Mlinzi kimejengwa kwa bei kubwa, hivyo Kiongozi wa Mbio Maalum amemkabidhi Kamanda wa Takukuru Nyaraka zote zinazohusu Mradi huu na kumwambia yeyote atakayekutwa amefanya Ufisadi achukuliwe hatua.

Mradi Uliofuatwa ni mradi wa Ujenzi wa Madarasa matatu shule ya sekondari Mbamba bay, Mradi wa Darasa la Tehama Nyasa na Mradi wa klabu ya kupambana na Rushwa iliyopo Mbamba bay Sekondari mradi huu umegharimu kiasi cha Tsh 47,787,000.00. Miradi hii yote imetembelewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021    ameridhia na imefunguliwa.

Na Mara baada ya kukamilisha kukagua Miradi mwenge wa Uhuru uko katika eneo la Mkesha katika viwanja vya Kilosa  vya maonyesho na Kusoma Risala ya Utii.

Mbio za Mwenge wa Uhuru 2021 kesho tutazikabidhi katika Wilaya ya  Songea makabidhiano yatakayofanyika katika Kijiji cha Liganga.

Imeandaliwa na 

Netho Sichali na Lilian Ngwavi(UoI)

Afisa habari Nyasadc

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.