• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI MAHAFALI YA GLORIOUS DAY CARE & NURSERY SCHOOL

Posted on: November 30th, 2024

Shule ya Chekechea ya Glorious Day care & Nursery school  ya Mjini Mbamba bay, Tarehe 30.11.2024 imefanya mahafali ya kuwaaga wahitimu 21 waliomaliza katika shule hiyo.

Mgeni Rasmi katika Sherehe hiyo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa BW. Khalid Khalif aliyewakilishwa na Afisa Elimu Kata ya Mbamba bay Bi Tulangwe Seth.

Akizungumza katika Mahafali hiyo amewataka wazazi walezi kuwapa elimu bora watoto wao bila kusahau jinsi zote mbili yaani watoto wa kike na wakiumekwa lengo la kujenga familia bora na Taifa kwa ujumla.

Amefafanua kuwa kwa muda mrefu wanajamii walijikita kumpa elimu mtoto wa kike na kusahau watoto wa kiume ambao ndio vichwa vya familia ambao baadae maadili yanaenda kumomonyoka, tunakumbushwa watoto wote ni sawa na wanatakiwa kupata elimu bora toka elimu ya awali hadi chuo kikuu.

“Nachukua fursa hii kuwa kumbusha wazazi walezi kwa muda mrefu tumekuwa tukitetera haki za watoto wa kike na kuwasahau watoto wa kiume ambao ni vichwa vya familia hivyo ni muhimu kuwekeza katika elimu kwa watoto wote bila kujali jinsi”

Aidha ameipongeza shule ya chekechea ya Glorious day care anda Nusery school kwa kutoa Elimu bora  kwa watoto wa mji wa  mbamba bay, Wilayani Nyasa, inayowajengea msingi mzuri wa kuanza shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza  au Kiswahili.

Ameitaka Jamii kuwapeleka wanafunzi kusoma katika shule hiyo ili kuongeza wigo wa shule Binafsi na kuahidi kama Serikali itatoa ushirikiano wa dhati ili kuendeleza shule hiyo.

Aidha ameongoza harambee na wazazi wote wamezhangia Tsh Laki nne na ishirini na kwa ajili ya kuingiza umeme katika shle hiyo.

Awali akitoa Taarifa fupi ya Shule Mkurugenzi wa shule hiyo Mwl. Shukurani Kibona amesema shule hiyo imeanzishwa kw3a lengo la kutoa elimu bora kwa watoto kwa lugha ya Kiingereza na imekuwa ikiwajengea uwezo wanafunzi wanaomaliza katika shule hiyo kuendelea vizuri na masomo katika shule za michupua ya kiingereza na Kiswahili.

Kwa Upande wao wazazi walioongea na Mwandishi wa Habari hizi wamesema wanaridhishwa na Taaluma nzuri wanayokuwa nao wanafunzi wanaosoma katika shule hii.

Shule ya Glorious Day care & ilianza mwaka  na inatoa huduma bora ya Elimu kwa watoto wadogo, Mlete mwanao ili aweze kupata huduma bora ya Elimu na Namba ya mawasiliano ya shule hii ni 0768241657.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.