• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI maadhimisho siku ya Mtoto wa Afrika Wilaya ya Nyasa

Posted on: June 16th, 2022

Halmashuri ya Nyasa Tarehe 16.06.2022 imeadhimisha sherehe ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika katika viwanja vya shule ya Msingi Lumeme Kata ya Lumeme Wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi wa maadhimisho hayo ni Kaimu Afisa Tawala Wilaya ya Nyasa bw. Paul Lugongo aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Kanali Laban Thomas.

Akizungumza katika Maadhimisho hayo ya Mtoto wa Afrika, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanawatunza na kuwapatia watoto haki zao kisheria na kutaka watoto kutoa taarifa za ukatili wanazofanyiwa na jamii kwa ujumla ili vyombo vya dola vichukue hatua za kisheria.

Ameongeza kuwa Wilaya ya Nyasa inawathamini watoto kwa kuwa ni Taifa la kesho na amewataka washiriki kikamilifu zoezi la Sensa ya watu na makazi, ili  waweze kuhesabiwa  ili waweze kujulikana kwa idadi, na Serikali inapopanga maendeleo ya Watoto waweze kupangiwa kikamilifu.

Awali wakisoma Risala kwa mgeni Rasmi watoto wa Wilaya ya Nyasa wamelaani vikali vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watoto, na kuwataka wazazi walezi waweze kuwapa haki watotto wao kama haki za kupata elimu,chakula na mavazi

Akitoa Taarifa Fupi ya maadhimisho ya Siku ya watoto Duniani Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii wilayani hapa bw. Douglas Ruambo amesema, Lengo la kufanya sherehe hii, ya mtoto wa afrika ni kuwakumbusha wazazi juu ya kuwapa haki za msingi watoto wao, kwa kuwa familia bora huleta taifa bora hivyo wazazi wanatakiwa kuwapa watoto haki zao ili kuweza kuwa na Taifa bora.

Naye Mratibu wa Sensa ya watu na makazi Wilayani Nyasa Eva Maendaenda alitoa elimu ya Sensa na kuihamasisha jamii kujiandaa kuhesabiwa, ifikapo tarehe 23.08.2022 na kuwapa faida ya kuhesabiwa ikiwa na pamoja na Serikali kuweza kupanga na kutoia huduma bora kwa wananchi kwa idadi husika.

Sherehe hizo zilipambwa na burudani za ngoma za asili za Mganda,Kioda Muhambo  na Kwaya.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.