• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 44 YA CHAMA CHA MAPINDUZI, YALIYOFANYIKA KATA YA LIPINGO, WILAYANI NYASA

Posted on: February 4th, 2021


#UKAGUZI wa Zahanati ya Ngindo iliyoko katika Kijiji cha Ngindo, na kivuko cha Mamba road  umefanyika na Mgeni Rasmi Fidelis Duwe ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Wilaya ya Nyasa.

#Baada ya hapo aliwasili katika Uwanja wa Mpira wa Lundo Sekondari na kushiriki upandaji, wa Miti katika Eneo la Shule yaSekondari ya Lundo na wageni wote waalikwa Pamoja na mamia ya wananchi waliohudhuria Sherehe hizo walishiriki kupanda miti katika eneo hilo.

#aidha baada ya kumaliza Upandaji miti, sherehe iliendelea kwa Utambulisho, na Katibu wa CCM wilaya ya Nyasa Bw Abbas B. Mkweta aliwatambulisha wageni waliohudhuria Sherehe hizo akiwemo Diwani wa Kata hiyo ambaye alichukua fursa hiyo kuwashukuru wananchi kwa kumchagua kuwa Diwani wa Kata hiyo ya Lipingo na kuwaahidi ushirikiano na kutatua kero za wananchi.

Aidha Diwani Martin Chaghala aliueleza Umma Matatizo yanayoikabiri kata ya Lipingo ni Uhaba wa Walimu, TASAF kutowahudumia wazee na kaya duni, Ukosefu wa Umeme, maji na Barabara.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, Bw Bernard Semwaiko, Pamoja na Wataalam walijibu kero hizo kwa kuwaambia wananchi kuwa Serikali iko tayari kuzitatua kero, kwa upande wa TASAF alisema Kata ya Lipingo kwa sasa imeingizwa katika Mpango wa TASAF kwa vijiji vyote kwa kuwa awali kulikuwa na Vijiji 50 kati ya 84 ambavyo vilikuwa vinahudumiwa na TASAF lakini kuanzia mwaka huu wa fedha vijiji vyote vitanufaika na Mradi wa TASAF, na kwa Upande wa Maji na Barabara amesema amelichukua na atawakabidhi kwenye mamlaka husika za TARURA NA RUWASA.Aidha amewata wakazi wa Kata ya Lundo kuitumia skimu ya umwagiliaji ya Lundo katika kuzalisha mazao ya chakula na kujiletea maendeleo.

#Ukosefu wa Walimu

Ofisa Elimu Msingi bw Said Kalima aliwaambia ni kweli kuna Upungufu wa Walimu,Serikali inajitahidi kuajiri na kwa sasa kuna ajira zitatoka kikubwa kwa , walimu waliokuwepo wazazi wawape ushirikiano, na kuwatunza ili waweze kufanya kazi kwa juhudi ili wafundishe masomo yanayokosa walimu kwa moyo.

Aidha kwa Upande wake Meneja wa Tannesco Wilaya ya Nyasa, amewataka Wananchi kuchangamkia Fursa za umeme kwa kuwa Miundombinu mingi ya Umeme Wilayani Nyasa, inakuwa haina watu wanaohitaji kuunganishiwa na mfano ni Kata ya Lipingo sehemu ambazo miundombinu imepita hakuna wananchi wanaohitaji na kutoa mfano transifoma moja inatumiwa na watu watano tu. Amesema ataendelea kutoa huduma hiyo kwa wakazi watakaohitaji hivyo waombe kuunganishiwa kwa kuwa bei ya kuunganishiwa Umeme kwa Wilaya ya Nyasa ni sh 27,000/= Hivyo wananchi wanakaribishwa.

#Katika hatua nyingine Mwenyekiti wa CCM Wilayani hapa amewataka wananchi kushirikiana na Uongozi wa kata hiyo ili kujiletea maendeleo kwa kuwa bila kushirikiana hakuna maendeleo yatakayopatikana, Aidha amewapongeza wananchi wa kata hiyo kwa kumchagua Diwani wa Kata hiyo wa Chama cha Mapinduzi mh.                                 Kwa kuwa awali walikuwa na Diwani wa chama pinzani .

# Naye Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya akiongea kwa Njia ya Simu na wananchi hao amewapongeza wananchi wa Kata ya Lipingo kwa kwa kuchagua Diwani wa Chama cha Mapinduzi na kumpa kura nyingi Mbunge, na Rais aidha amewaambia Serikali iko Pamoja na wananchi wa Kata ya Lipingo, na wataendelea kutatua kero za wananchi na kwa kuanzia ameahidi atahakikisha Zahanati ya Kijiji cha Ngindo inapewa milioni 50 za kukamilisha mradi na kuhakikisha Lipingo inakuwa na Kituo cha afya.

#Aidha wananchi waliohudhuria sherehe hizo walimpongeza Diwani wa Kata ya Lipingo na kumweleza kuwa wanaimani naye na wapo tayari kushirikiana nae na watashirikiana nao katika kujiletea maendeleo kwa kuwa ili wapate maendeleo wanahitaji Ushirikiano.

Announcements

  • Tangazo la kujiunga na Program ya Jenga kesho iliyopo Bora (building a Better Tommoro BBT) January 22, 2026
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Balozi wa Tanzania nchini Malawi atembelea Wilaya ya Nyasa

    December 06, 2025
  • Maonesho ya Nane Nane Kanda za Nyanda za juu kusini , Mguu sawa Kuanza leo

    August 01, 2025
  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.