• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

YALIYOJIRI KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI NYASA TAR.27.08.2021

Posted on: August 27th, 2021


Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Leo wamefanya kikao cha baraza hilo kilichofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba, Mjini Mbamba bay na yafuatayo ni yaliyojiri katika katika Kikao Hicho.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas alitoa salamu za Serikali Wilayani Nyasa,katika salamU hizo kwanza amewataka waheshimiwa madiwani Wilayani Nyasa kujiandaa na kupata madarasa ya kutosha, na madawati ya kutosha kwa kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na wanafunzi wa kutosha watakaoanza kidato cha kwanza mwaka 2022, kwa kuwa toka mfumo wa Elimu bure ulipoanza,, mwaka huu wanahitimu darasa la saba hivyo amewataka madiwani kuhamasisha wananchi na kuwa na madawati na madarasa ya kutosha.

Jambo jingine amelitaarifu Baraza la Madiwani kuwa Tarehe 05.09.2021 Mbio maalum za Mwenge wa Uhuru zitafanyika Wilayani Nyasa na kutembelea miradi 7  ikiwa ni pamoja na Hospitali ya Wilaya, Mradi wa Maji Likwilu,shamba la michikichi, mradi wa Chuo cha Ufundi stadi VETA na Shule ya Sekondari Mbamba bay hivyo amewataka Madiwani kuhamasisha wananchi waweze kuhudhuria katika mapokezi yatakayofanyika Kijiji cha Mkalole, na Mkesha Katika kijiji cha Kilosa.

Aidha amesema kuwa mwaka 2022 kutakuwa na Sensa hivyo amewataka kuanza kuwahamasisha wananchi waweze kujitokeza kuhesabiwa ili Serikali iweze kupanga mipango ya maendeleo.

Pia amewataka madiwani kuhamasisha wananchi kuchukua tahadhari ya Ugonjwa wa Corona na  kujitokeza kwa wingi kuchanja chanjo ya Ugonjwa wa UVICO 19 kwa kuwa ni Chanjo inayotolewa na Serikali na ni salama.

Aidha amewataka wananchi kulima mazao ya michikichi,Korosho na Kokoa, na  kuongeza kulima kahawa ili tuwe na mazao ya biashara ya Mkakati.

Mwisho amewataka Viongozi kushirikiana na kuhamasisha amani na utulivu kwa wananchi na kutowakaribisha wageni kutoka nje ya Nchi.

Habari za kina Zitakujia,

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.