• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

Posted on: March 21st, 2023

Serikali kupitia wizara ya Afya,tarehe 21/03/2023 imetoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa..

Mafunzo hayo yametolewa katika Ukumbi wa bay live mjini MBAMBA BAY Kwa viongozi wa Dini, na Ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa Kwa waandishi wa habari wa radio unyanja,radioHekima na mitandandao ya Kijamii.

Mratibu wa mafunzo hayo Bw Johnson Mndeme kutoka Wizara ya Afya Amesema lengo la mafunzo hayo ni kutoa elimu Kwa makundi mbalimbali ya kijamii, ili kujenga uelewa wa magonjwa ya Mlipuko na jinsi ya kukabiliana nayo, ili jamii iweze kujua kuzuia na kupambana pindi yanapotokea.

Mndeme amefafanua kuwa Wilaya ya Nyasa Ina mwingiliano kutoka nchi Moja kwenda nyingine hivyo wizara imeona ni vema ikatoa elimu hiyo Kwa makundi mbalimbali ya jamii,ya Nyasa ili iweze kutoa elimu hiyo Kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Amyataja makundi yanayopewa elimu Kwa ni waandishi wa habari, viongozi wa Dini, wazee mashuhuri,waganga wa kienyeji na watendaji wa Kata na vijiji pamoja na makundi mengine.

Ametoa wito Kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kutumia vyoo Bora na kunawa maji Kwa usahihi baada ya kutoka chooni na kuchemsha maji ya kunywa.

Akifungua Mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Nyasa Ndugu Bernard Semwaiko amewataka Viongozi wa dini kutoa elimu Kwa waumini wao ili kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko hasa kipindupindu Kwa Wilaya ya Nyasa na kumwambia Nyasa bila kipindupindu Inawezekana.

Mafunzo hayo yataendelea Kwa makundi mengine hapo kesho.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.