• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

DC NYASA AZINDUA WIKI YA SHERIA, LENGO KUTOA HUDUMA ZA KISHERIA BURE KWA WANANCHI

Posted on: January 25th, 2025

YALIYOJIRI SIKU YA UZINDUZI WIKI SHERIA WILAYA YA NYASA

Mkuu wa wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri tarehe 25/01/2025 amezindua Wiki ya Sheria iliyofanyika katika Uwanja wa Mpira Mbamba bay uliopo Mbambabay Wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Wiki ya Sheria  ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe.Peres Magiri aliyepata fursa ya kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza Katika Uzinduzi wa Wiki ya Sheria Wilayani Nyasa, amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kutumia wiki hii ya Sheria kujitokeza kwa wingi kupata elimu ya sheria kwa kuwa wananchi wengi wanauhitaji na wanachangamoto ya kujua sheria mbalimbali, kama za ndoa, ardhi, mirathi, hivyo katika maadhimisho haya Mahakama wadau wa vyombo vya sheria watatoa Elimu bure.

Ameongeza kuwa kwa mwaka huu 2025 Mahakama kwa kushirikiana na Wadau wa sheria Wilayani hapa watatembelea vijijini na kutoa Elimu  bure na Msaada wa kisheria kwa wananchi, katika Kata ya Kihagara Shule ya Sekondari na Msingi, Mabaraza ya Usuluhishi, mabaraza ya ndoa,  sokoni,mikutano ya Hadhara na Radio Unyanja.

Aidha amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwa kuwa wiki hii ni ya muhimu sana, kujua sheria mbalimbali za migogoro ya Ardhi na ndoa na tuwe mstari wa mbele kupata elimu  katika wiki hii ya sheria ili kujua haki zenu.

“Ninatoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kutumia wiki hii kujitokeza kwa wingi kujua sheria mbalimbali za ndoa, ardhi na kupata msaada wa kisheria bure, kwa kuwa wiki hii ni ya muhimu sana kwetu wananchi”

Awali akitoa Taarifa ya maadhimisho ya wiki ya Sheria Wilaya ya Nyasa Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mh.Osmund Kapinga, amesema Maadhimisho haya yanalenga kutoa Elimu ya Sheria kwa wananchi kwa kuwafuata katika maeneo mbalimbali kwa kufanya mikutano ya hadhara, kutoa elimu Radio Uyanja, kuweka hema katika viwanja vya mahakama na soko la Mbamba bay na katika taasisi za umma kama shule mabaraza ya migogoro na sehemu zingine.

Aidha ameitaja KAULI MBIU “TANZANIA 2050 NAFASI YA TAASISI ZINAZOSIMAMIA HAKI MADAI KATIKA KUFIKIA MALENGO MAKUU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO”

Maadhimisho haya yamepambwa na maandamano kutoka daraja la Mbamb baykupitia Barabara ya mzunguko hadi uwanja wa Mpira Mbamba bay na michezo ya kuvuta kamba , kufukuza kuku, na kukimbia na yai likiwa kwenye kijiko,

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.