• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA YA NYASA YAKUMBWA NA UHABA WA SARUJI

Posted on: November 18th, 2020

Wilaya ya Nyasa imekumbwa na uhaba mkubwa wa Saruji hali iliyotokana na wafanyabiashara kuogopa kuingiza,  na kuuza kwa bei kali inayotokana na uadimikaji wa saruji katika viwanda vinavyozalisha.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mh. Isabela Chilumba, ameyasema hayo jana wakati alipofanya ziara ya kushtukiza ya kikazi, katika maduka ya wafanyabiashara wa Saruji yaliopo Makao makuu ya Wilaya ya Nyasa Mjini Mbamba bay.

Chilumba amefafanua kuwa Lengo la Ziara hiyo ya Kikazi, akiwa ameambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama,  ilikuwa ni kuwabaini wafanyabiasha wanaouza Saruji kwa bei kubwa, na kuwachukulia hatua za kisheria kwa kuwa, kulikuwa na Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali kuwa kuna wafanyabiashara wameongeza bei kutoka Sh 16000 kwa mfuko hadi kufikia tsh 20,000.

Ndipo alipolazimika kukagua kwa kushitukiza bidhaa hiyo, amebabaini kuwa Uhaba Mkubwa wa Saruji na hakuna Mfuko hata mmoja wa Saruji, Hivyo amewaomba wananchi kuwa na subira wakati Serikali ikijipanga kutatua  changamoto ya ukosefu wa saruji wilayani hapa.

 Baadhi ya wafanyabiashara walipohojiwa kwa nini hawauzi saruji wamesema kwa sasa changamoto inayowakabili ni kununua kwa bei ya juu na wanasafirisha ili wapate faida wanatakiwa kuongeza bei, hali ambayo wameamua kutonunua. Alisema Daud mwangosi muuzaji wa saruji kwa jumla na rejareja.

Aidha wafanyabiashara hao wameiomba Serikali kutatua changamoto ya ukosefu wa saruji Wilayani hapa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.