• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA YA NYASA YAAFIKIANA NA WAFANYA BIASHARA WA MNADA KUHAMIA ENEO JIPYA LA KUFANYIA MNADA KATIKA MJI WA MBAMBA BAY

Posted on: July 14th, 2017


Uongozi wa Wilaya ya Nyasa kwa pamoja na Uongozi wa Wafanya biashara wa Mnada kutoka Mbinga na Songea wamefanya Kikao na Kuafikiana (Kufikia Makubaliano) juu ya maelekezo ya Wilaya ya kuwataka wafanyabiashara hao kuhama kutoka katika eneo lililokuwa likitumika kwa ajili ya Mnada hapo siku za nyuma (Mbamba bay) na kuhamia eneo jipya (Kilosa Sokoni) ili kuendelea na biashara ya Mnada kila Tarehe 20 ya Mwezi.

Maelekezo ya kuhamia Kilosa Sokoni yanatokana na jitihada za Uongozi wa Wilaya za kuendelea kuupanga Mji wa Mbamba Bay ambao kimuundo unajumuisha Kata za Mbamba Bay, Kilosa na Mtipwili ili wakazi wa maeneo hayo waweze kupata huduma kwa karibu na kwa uhakika walau kwa mwezi Maramoja ukilinganishwa na eneo la M’Bay ambako tayari huduma hizo zinapatikana muda wote.

Akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa aliwajurisha wajumbe kuwa ajenda ya kikao hicho ni moja tu ‘MNADA WA MBAMBA BAY KUHAMIA KILOSA SOKONI’ ,Baada ya majadiliano ya Muda mrefu kwa pamoja wajumbe wa kikao hicho chini ya Uenyekiti wa Ndg. Richard Mbambe Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa walikubaliana kwa kauli Moja kuwa kuanzia Mnada wa tarehe 20-07-2017 na kuendelea itakuwa ikifanyika Kilosa Sokoni

Wakati akifunga kikao Mwenyekiti aliwashukuru wajumbe wote kwa busara zao na kutoa ufafanuzi wa hoja ya Viongozi wa wafanya biashara waliohitaji uhakika wa kuwepo katika eneo jipya angalau kwa zaidi ya Miaka Mitano (Eneo la Kudumu) kwa kuwaondoa hofu na kwamba eneo wanalokwenda kuanza kulitumia litakuwa la kudumu.


Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.