• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wilaya ya Nyasa yaadhimisha sikukuu ya Uhuru Kwa kufanya Kongamano

Posted on: December 9th, 2023

Wilaya ya Nyasa tarehe 09/12/2023 imeadhimisha sikukuu ya Uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya kongamano Katika ukumbi wa shule ya Sekondari limbo.

Madam mbalimbali zimewasilishwa hasa Maendeleo yaliyofanyika kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru.

Mgeni Rasmi katika kongamano Hilo ni Balozi mwangakale AmBAye amewataka Wananchi kuwa wazalendo na kuipenda Nchi Yao Kwa kufanya kazi Kwa juhudi na maarifa ili kuendeleza Tanzania.

Amewataka vijana kuitumia mitandao ya kijamii Kwa uangalifu Kwa kuwa inachangia kushusha uzalendo.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa MH. Filberto Sanga akiongea na wananchi wa Wilaya ya Nyasa katika kongamano Hilo amewataka Wananchi kuipenda Serikali Yao Kwa kuwa imefanya mengi katika kuboresha miundombinu ya Afya, Barabara, umeme, maji, usafiri wa makini.

Amefafanua kuwa tunakila Sababu ya kujivunia uhuru wa Tanzania bara Kwa kuwa ulinzi na Usalama upo , na miradi mingi ya Maendeleo inatekelezwa.

Amempongeza Rais SAMIA Suluhu Hassan Kwa kuipa Miradi mingi ya Maendeleo Wilayani Nyasa.

Mbunge wa Jimbo la Nyasa mhandisi Stella Manyanya amesema Wilaya ya NYASA inakimbia Kwa Maendeleo ukilinganisha na miaka ya Nyuma ametoa wito Kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kujiandaa na kutumia fursa za Barabara umeme na Ujenzi wa bandari ili kukiletea Maendeleo.

Wananchi waliohudhuria kongamano wamesema wanaiona nyasa ya kisasa na tupoadhimisha miaka 62 ya uhuru hakika wanafuraha.

Madam mbalimbali zimewasilishwa ikiwa ni pamoja na historia ya Tanganyika, Maendeleo yaliyopatikana baada ya Uhuru, maji, umeme, Barabara.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.