• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wilaya ya Nyasa yaadhimisha siku ya Sheria,DC Nyasa ajitambulisha na kutoa Wito kwa wakazi wa Nyasa

Posted on: February 1st, 2023

YALIYOJIRI SIKU YA SHERIA WILAYA YA NYASA

WILAYA ya Nyasa tarehe 1/02/2023 imeadhimisha siku ya Sheria iliyofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba  uliopo Mbambabay Wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho hayo ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh,Filbetho Hassan Sanga, aliyezungumza kwa mara ya kwanza na wananchi wa Wilaya ya Nyasa  tangu kuteuliwa kwake na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa.

Akizungumza Katika maadhimisho hayo amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kutumia njia ya usuluhishi wa Viongozi wa Dini,Serikali na wazee, kutatua migogoro mbalimbali inayotokea katika jamii kabla ya kwenda mahakamani na kuhakikisha usalama unakuwepo katika wilaya yetu.

Ameongeza kuwa Viongozi wa Dini,Serikali na wazee ni watu muhimu katika jamii hivyo wanatakiwa kumaliza migogoro inayojitokeza katika jamii kwa kuwa kufanya hivi kunapunguza gharama na kuifanya jamii kuwa yenye maelewano.

Aidha amewataka viongozi hao kuhakikisha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na elimu ya Sekondari, wanajiunga mara moja.amewapongeza wakazi wa Wilaya ya Nyasa kwa kuwa na amani na kuwataka kuendelea kuwa na amani kwa kutoruhusu wahamiaji haramu, kuingia katika nchi yetu,Aidha amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kumpa ushirikiano kwa kuchapa kazi kwa bidii, nae yupo tayari kutoa ushirikiano wa hali ya juu utakaohitajika.

Awali akitoa Taarifa ya maadhimisho ya wiki ya Sheria Wilaya ya Nyasa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mh.Osmund Kapinga, amesema Maadhimisho haya yanalenga  kutoa Elimu ya Sheria kwa wananchi na kufungua mwaka wa kazi wa kimahakama na amesema mada mbalimbali zimetolewa kwa wananchi zikiwepo mada za ndoa,umiliki wa ardhi, na kutumia njia ya usuluhishi kabla ya kwenda mahakamani.

Aidha ameitaja kauli mbiu ni “Umuhimu wa utatuzi wa migogoro kwa njia ya usuluhishi katika kukuza uchumi endelevu,wajibu wa mahakama na wadau”.

Announcements

  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • ORODHA ya Watumishi wanaodai malimbikizo ya Mshahara February 08, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • MV MBEYA II

    March 23, 2023
  • Wizara ya Afya yatoa mafunzo ya kuzuia na kupambana na magonjwa ya Mlipuko Wilayani Nyasa

    March 21, 2023
  • Nyasa yapewa milioni 800 Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    March 21, 2023
  • Wananchi Nyasa waishukuru Serikali Kwa kufungua Barabara

    March 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yafunguka Kimataifa
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.