• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

Posted on: April 26th, 2025

 NYASA YASHEHEREKEA MIAKA 61 MUUNGANO KWA KUFANYA USAFI.

Wilaya ya Nyasa Tarehe 26.04.2025  imeadhimisha sikukuu ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika viwanja vya polisi Mbambabay wilayani Nyasa.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho  ni Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres Magiri ambaye ameungana na kuwaongoza wananchi wa Wilaya ya Nyasa, kufanya usafi na wananchi wa Wilaya ya Nyasa katika Viwanja Vya Polisi mbamba bay kwa lengo la Kuadhimisha Sikukuu.

Akiongea na wananchi amewataka wananchi kulinda Muungano huu kwa kudumisha amani na Utulivu kwa kuwa ni msingi wa Taifa letu lenye umoja amani na Utulivu ikiwa ni sehemu ya kudumisha mawazo ya Viongozi wetu waasisi, hivyo tunatakiwa kuendelea kuulinda Muungano ili tuwe mfano wa kuigwa na mataifa mengine.

“Ndugu wananchi napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza kwa kusheherekea Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na tukiwa tunasheherekea basi tukumbuke kulinda amani na Utulivu huku tukiuenzi Muungano Muungano wetu umefikia miaka 61, nimfano wa kuigwaa na mataifa mengine hivyo tunakila sababu ya kuuenzi”

Amewashukuru Wananchi wote wa Wilaya ya Nyasa walioshiriki kufanya usafi kwa lengo la kuadhimisha maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kuwataka kuendelea kuhamasika katika shughuli zingine za Kitaifa kama vile Uchaguzi Mkuu uanaotarajiwa kufanyika Nchi nzima mwaka huu.

Pia amechukua Fursa hii kwatangazia Ujio wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025 Wilayani Nyasa tarehe 12.05.2025. ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kushiriki kikamilifu kukimbiza Mwenge wetu wa Uhuru 2025 utakaopokelewa Ukuli, Kingerikiti na Mkesha ni Viwanja Vya Polisi Mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha miaka 61 ya Muungano kwa Kufanya Usafi

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.