• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA ya Nyasa yaadhimisha kumbukumbu ya mashujaa kwa kufanya usafi

Posted on: July 25th, 2022

Wilaya ya Nyasa Tarehe 25.07.2022 imeadhimisha siku ya kumbukizi ya Mashujaa, waliopigania Uhuru wa Taifa kwa kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Wilaya ya Nyasa, iliyojengwa katika kijiji cha Nangombp kata ya Kilosa Wlayani Nyasa.

Kaimu Afisa Tawala Wilaya ya Nyasa Bw. Paul Lugongo, amewaongoza wakuu wa Taasisi,Wakuu wa Divisheni na Vitengo na Watumishi wa Umma kwa kushiriki maadhimisho  kwa kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Wilaya.

Akizungumza katika Maadhimisho ya Mashujaa, Kaimu Afisa Tawala amewapongeza watumishi wote waliohudhuria kufanya usafi kwa kuwaenzi mashujaa wetu waliohakikisha Tanzania tunakuwa huru,amewahimiza wananchi na watumishi kuhakikisha wanafanya Usafi katika maeneo ya kutolea Huduma za  kijamii na maeneo yao kwa ujumla na kuhakikisha Halmashauri ya Nyasa inakuwa na mazingira masafi.

Naye Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa Fidelis Duwe , amewashukuru watumishi wote walioshiriki usafi wa mazingira na kuwataka wananchi kuiga mfano wa kufanya usafi katika maeneo yao na Taasisi zinazowazunguka badala ya kuwaachi watumishi pekee.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama amewataka wananchi kujakujionea kwa macho kazi zinazofanywa na Serikali ya kujenga Wodi mbalimbali kama vile za Upasuaji na wagonjwa wa dharula.

Ametoa wito kwa wananchi kutembelea na kuona kwa macho kazi mbalimbali zinazotekelezwa katika Hospitali ya Wilaya na kutoa maoni mbalimbali ili waweze kuboresha zaidi.

Watumishi walioshiriki kufanya usafi wamesema wamefurahia kuona Hospitali ya Wilaya ikiwa ina majengo bora na ya kisasa ambapo wanauhakika wa kufanya kazi kwa bidii kwa kuwa hata wakipata changamoto ya kiafya wanauhakika wa kutibiwa.

Announcements

  • HALMASHAURI ya Nyasa Imetangaza majina ya Wasimamizi wa Sensa July 27, 2022
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • TANGAZO LA KULIPA KODI YA ARDHI August 30, 2021
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • View All

Latest News

  • TANZIA

    August 11, 2022
  • HALMASHAURI ya Nyasa imetangaza majina ya wasimamizi wa Sensa

    July 27, 2022
  • WILAYA ya Nyasa yaadhimisha kumbukumbu ya mashujaa kwa kufanya usafi

    July 25, 2022
  • Muonekano wa Jengo la utawala Wilaya ya Nyasa

    July 20, 2022
  • View All

Video

Wilaya ya Nyasa yaadhimisha siku ya mashujaa kwa kufanya usafi
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.