• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA YA NYASA YA YAZINDUA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KATIKA SHULE YA MSINGI KILOSA LEO 23-04-2018.

Posted on: April 23rd, 2018

Mkuu wa wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma bi Isabela Chilumba amezitaka kamati ya afya ya msingi kuhamasisha wasichana walio na umri wa miaka 14 kujitokeza kwa wingi kupata chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ili kuepukana na vifo vinavyotokana na saratani ya shingo ya kizazi.

Mh,chilumba aliyasema hayo leo wakati akifanya uzinduzi wa kutoa chanjo ya kuzindua saratani ya shingo ya kizazi uzinduzi uliofanyika katika shule ya msingi Kilosa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma akiwa mgeni rasmi.

Bi Chilumba alifafanua kuwa,chanjo hiyo ni muhimu sana kwa kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kupatiwa wasichana wote walio na umri wa miaka 14 wa wilaya ya nyasa kwa kuwa saratani hiyo husababisha vifo vya wanawake wengi Duniani hivyo kila kiongozi wa afya ya msingi ahakikishe anahamasisha wanawake wote kupata chanjo hiyo

“nyie kamati ya afya ya msingi ya wilaya ninawaagiza kuwa wahamasisheni wasichana wote walio na umri wa miaka 14 wilaya ya nyasa wapate chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa kuwa saratani ya shingo ya kizazi ni miongoni mwa ugonjwa unaosababisha vifo vingi vya wanawake duniani”

Kabla ya uzinduzi huo mkuu huyo wa wilaya alifanya kikao na kamati ya afya ya msingi ya wilaya ya nyasa mkoani Ruvuma napo aliwataka wajumbe wa kamati hiyo kuwa wazalendo na kuwahamasisha wasichana wote kupata chanjo na kuwafikia wanawake wengi zaidi katika wilaya

Wakati wa uzinduzi huo jumla ya wasichana 27 ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi kilosa walipatiwa chanjo hiyo ambapo lengo la wilaya ni kutoa chanjo hiyo kwa wasichana walio na umri wa miaka 14  wapatao 5668.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.