• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA YA NYASA KUANZISHA USHIRIKA WA MTANDAO JAMII.

Posted on: September 4th, 2020

jana  katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kimefanyika kikao cha uanzishwaji wa Ushirika wa Mtandao jamii Nyasa, ambao una lengo la kutoa Huduma nafuu ya enternet kwa wakazi wa Wilayani hapa, kikao ambacho kieahudhuriwa na wadau wa mawasiliano Wilaya ya Nyasa.

Akifungua kikao hicho, Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Bi Isabela Chilumba amewataka wadau wa maendeleo Wilayani hapa, kujiunga katika Ushirika wa Mtandao jamii Nyasa, kwa kuwa una lengo la kutoa huduma ya mawasiliano ya Internet kwa gharama nafuu, katika Wilaya yetu ya Nyasa, ili wananchi wapate maendeleo ya haraka.

Amefafanua kuwa Wilaya ya Nyasa ni miongoni mwa Wilaya ambazo zina uhitaji mkubwa wa kupatiwa huduma ya mtandao wa internet kwa kuwa ni wilaya ambayo iko pembezoni,mpakani mwa nchi ya Tanzania,Malawi na Msumbiji, hivyo makampuni mengi yanatoa huduma hizo,  yanatoa kwa mijini peke yake ikiwa, wananchi wa nyasa tukiunda ushirika jamii, tutapata huduma hiyo kwa gharama nafuu ukilinganisha na tunavyolipia kwa sasa.

Aliongeza kuwa ikiwa tukianzisha shule zote, zitaunganishiwa internet hivyo kutawaongezea wanafunzi kujifunza katika maktaba kwa njia ya mtandao na kupata huduma mbalimbali za kimasomo.

“Ndugu zangu wananyasa tunawashukuru sana wawezeshaji wetu ambao wametupa elimu hii ya kuanzisha Ushirika huu wa Mtandao jamii Nyasa ambao una lengo la kutoa huduma ya Internet kwa bei nafuu ikiwa awali, wanafunzi wetu walikuwa wakipata shida ya intenet lakini tukiwa na mtandao huu utasaidia hata wanafunzi kujifunza , kwa kuwa makampuni mengi hayataki kuwekeza Vijijini kwa kuwa kuna wananchi wachache hali inayosababisha wananchi wetu kukosa mawasiliano. ”

Naye Mwenyekiti wa kamati ya kuanzisha Ushirika jamiii wa Internet, Wilaya ya Nyasa Bw. Patric Kosima,  alisema amelazimika kuwahamasisha, wakazi wa Wilaya ya Nyasa ili kujiletea Maendeleo hasa ukizingatia huduma hiyo ni ya muhimu kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Nyasa Bw Bernad Semwaiko, amesema atahakikisha anasimamia makubaliano ya uanzishwaji wa Ushirika, na kutoa Wito kwa wakazi wa Wilaya ya Nyasa kujiunga na ushirika kwa lengo la kuboresha mawasiliano ya Intekatika Wilaya  ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.