• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WILAYA Nyasa yaanza kusherehekea miaka 60 ya Uhuru kwa Mdahalo

Posted on: December 3rd, 2021

Halmashauri ya Nyasa tarehe 2/12/2021 imeanza maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania, kwa kufanya Mdahalo wa kuangalia maendeleleo yaliyofanyika Kabla ya Uhuru na baada ya Uhuru, mdahalo uliofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Limbo Wilayani Nyasa.

Mdahalo huo umewahusisha wazee maarufu, wanafunzi  walimu  wa shule za msingi na Sekondari , na wakuu wa idara wa Wilaya ya Nyasa na Mgeni Rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas.

Akifungua Mdahalo huo Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, amesema Serikali imetoa  maelekezo jinsi ya kusherekea miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania ikiwa ni pamoja na kuwahamasisha wananchi  kuchangia miradi ya maendeleo na lengo la kufanya hivi ili wananchi waweze kufahamu  kabla ya Uhuru hali ilikuaje na Baada ya Uhuru mambo yaliendeleaje na kwa sasa wapi tunakoelekea.

Ameongeza kuwa, tunakila sababu ya kuwashukuru wazee wetu waliopigania Uhuru kwa kuwa walitukomboa kimawazo na kifikra hali iliyotufanya tupige hatua kimaendeleo hasa kwenye miundombinu ambayo hii leo tunayo kama vile Umeme, maji, Barabara na Reli, pamoja na usafiri wa uhakika wa majini miundombinu inayotumika kutuletea maendeleo.

Ametoa Mfano kabla ya Uhuru hatukuwa na miundombinu inayijitosheleza lakini kwa sasa unaweza kutembea kuanzia Nyasa hadi mwanza na Dar es salaam kwa kutumia barabara ya Lami. Aidha kwa upande wa Elimu amesema elimu ilitolewa kwa upendeleo hasa kwa watoto wa machifu pekee na wanawake walikuwa hawasomi kabisa lakini kwa sasa elimu inatolewa kwa wote bila upendeleo.

Aidha amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kuthamini mchango wa Mnyasa mwenzetu  Oscar Kambona ambaye alikuwa mpigania Uhuru wa Tanganyika na kuwataka wananchi wote wakiwa wanasherekea waweze kuwakumbuka mashujaa akiwemo Mw Julius K Nyerere na kujitokeza kwa wingi kushiriki miradi ya Maendeleo.

Aidha katika Mdahalo huo mada mbalimbali Ziliwasilishwa zikiwemo,mbinu zilizotumika kupata uhuru,Maendeleo ya Tanzania baada ya Uhuru, Nafasi za Vijana katika kulinda na Kudumisha Uhuru wa Tanzania , Mchango wa Historia ya jamii husika katika Uhuru wa Nchi na Mafanikio mbalimbali yaliyoletwa na Serikali baada ya Nchi kupata Uhuru hadi sasa.

Aidha wawasilishaji wa Mada hizo wameisifu Serikali ya Tanzania baada ya Uhuru ambao wameweza kutoa huduma bora kwa wananchi kwa kulinda Uhuru wenye Demokrasia na kulinda amani inayowawezesha wananchi kufanya kazi za maendeleo.

Aidha vijana wametakiwa kufanya kazi kwa juhudi na kulinda amani kwa kushiriki na kufanya kazi kwa juhudi na maarifa hasa za kujenga miundombinu ya shule, zahanati miradi mbalimbali ambayo inatatua kero za wananchi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.