• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAZIRI MKUU AZITAKA MAMLAKA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA KUTANGAZA MAENEO YA KIHISTORIA

Posted on: February 27th, 2021

Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kassim majaliwa, ameziagiza mamlaka za mikoa na  serikali za mitaa kuhakikisha wanatenga bajeti,  kwa ajili ya kuibua,kutangaza na  kuhifadhi maeneo yote ya kihistoria.

 Maagizo hayo,yametolewa na Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Inocent Bashungwa kwa niaba ya waziri Mkuu, wakati akifunga Tamasha la kumbukizi la Vita vya majimaji na Utalii wa kiutamaduni, lililofanyika leo katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa ya majimaji Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma .

Waziri Mkuu  Majaliwa ameziagiza mamlaka za Mikoa na Serikali za mitaa  kutenga bajeti ,kwa ajili ya kuhakikisha maeneo yote ya kihistoria ya kiutamaduni yanatambuliwa na yanahifadhiwa kwa manufaa ya kizazi kilichopo na kijacho.

Ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo  kuendelea kuadhimisha kumbukumbu ya maadhimisho ya Mashujaa, kila mwaka ili kuhifadhi Historia ya nchi  na Ukombozi wa kusini mwa Bara la Afrika.

Ameongeza Wizara zote mbili zihamasishe jamii na kuelimisha kuwa, wanayofursa ya kumiliki maeneo ya Malikale na kuanzisha makumbusho kama sera ya malikale ya mwaka 2008 inavyofafanua.

“Mashujaa babu zetu wamepigana kwa ajili ya Taifa kilichobaki ni kwetu Vijana kutimiza wajibu, kupitia Vita vya majimaji ambavyo wazee wetu walipigania Uhuru, kwa kutumia mbinu mbalimbali, walipanda mbegu ya kizalendo,  vinatukumbusha ni kitendo cha  kizalendo kwa kuipenda Nchi yetu kwa kushirikiana, kushikamana wakaweza kuikomboa Tanzania” amesema Majaliwa.

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Cosmas Nshenyi amesisitiza Suala la Uzalendo kwa kuandaa taifa la kizalendo, ambalo litakuwa na jukumu la kusimamia na kuhifadhi historia ya Nchi na Utamaduni, wa Mtanzania kwa kuijali na Kuipenda Tanzania.

Naye Chifu wa kabila la wangoni Ema Nkosi wa Mamkos Emanueli Zulu Gama ameiomba Serikali kufanya mchakato wa kuipandisha hadhi, Makumbusho ya Taifa ya Majimaji kuwa makumbusho ya kwanza kusini mwa bara la Afrika, kwa kuwa makumbusho haya ya majimaji yamekuwa yanatoa fursa ya kushikiana na  Nchi nyingine za kusini mwa Bara la Afrika katika kufanikisha Tamasha la Kiutamaduni.

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho Taifa Dr Noel Lwoga, amesema Makumbusho ni Taasisi ya Kielimu ambayo ina jukumu la kukusanya, kutafiti na kuhifadhi na kuelimisha jamii kuhusu urithi wa Taifa letu, hivyo linawajibu Mkubwa katika kufundisha na kuelimisha jamii kuhusu Historia ya Tanzania kwa Vitendo kupitia Tamasha la Kiutamaduni, na kukuza Utalii wa ndani wa kiutamaduni.

Aidha Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mali asili na Utalii christowaja Ntandu, amesema Wizara inamikakati ya kutangaza maeneo muhimu ya Kihistoria ya Viongozi wetu wa jadi, ya wapigania Uhuru na yale yenye historia ya Nyerere katika Mkoa wa Ruvuma na mikoa mingine Tanzania. Lengo ni kuyahifadhi na kuyaendeleza kwa ajili ya maendeleo endelevu ya Utalii.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.