• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wazee Nyasa, wampongeza DC Nyasa

Posted on: August 25th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas jana, amefanya kikao na wazee wa kata ya Mbamba bay na kilosa, kikao kilichofanyka katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, chenye lengo la kujitambulisha na kusikiliza kero  zinazowakabili Wazee wilayani Nyasa.

Akizungumza na wazee hao Kanali Thomas amewataka wazee wa Wilaya ya Nyasa, kuwakumbusha watoto wao kuishi kwa Uadilifu na kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kuwasili katika Wilaya ya Nyasa tarehe 05.09.2021

Amefafanua kuwa Wazee ni msingi wa maendeleo ya Taifa, kwa kuwa wazee wanachochea maendeleo, hivyo ameona ni vema afanye kikao na wazee ili aweze kujitambulisha kwao na ajue kero zinazowakabili ili aweze kuzitatua.

Ameongeza kuwa anawaheshimu sana wazee kwa kuwa ni kundi ambalo analiheshimu sana katika jamii, kwa kuwa ni watu wenye maadili na Ushauri wa kujenga, lakini hata katika jamii vijana wanawasikiliza, hivyo amewataka kuwafundisha maadili vijana wao hasa uvaji wa mavazi na kufanya kazi kwa juhudi ili kuondokana na Umaskini.

Pia amewataka wazee hao kushiriki katika mbio Maalum  za Mwenge wa Uhuru 2021 zitakazofanyika Wilayani Nyasa Tarehe 05.09.2021 mapokezi ni katika Kijiji cha Mkalole na Mkesha ni Kilosa, Pia amewakumbusha mwaka 2022 tutakuwa na Sensa ya watu na makazi, hivyo amewaomba waihamasishe jamii ili wawe tayari kuhesabiwa.

Kwa upande wao wazee wa kata ya Mbamba bay na kilosa walibainisha kero zinazowakabili ni Upungufu wa huduma ya maji ya bomba, umeme, na barabara.

Aidha wazee hao wamempongeza Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kwa busara zake za kufanya kikao na wazee hivyo wame mwambia watampa ushirikiano atakaohitaji kutoka kwa wazee.

“Sisi kama wazee wa Wilaya ya Nyasa tunakushukuru sana Mkuu wetu wa Wilaya kwa kupita kujitambulisha kila kata na kuongea na wazee ni jambo ambalo limetupa faraja nzito na tumefarijika sana”

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.