• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WATUMISHI WILAYA YA NYASA WAFANYA MAZOEZI YA VIUNGO

Posted on: March 13th, 2021

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa leo, wamefanya mazoezi ya viungo, katika Viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, Mkoani Ruvuma , yaliyoongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Isabela Chilmba.

Lengo la Kufanya mazoezi ya Viungo kwa Watumishi hao, ni kujenga miili ya Wafanyakazi hao wasishambuliwe na magonjwa ya kifua na kuongeza ari ya Utendaji kazi na kufahamiana.

Akizungumza  mara baada ya kukamilika kwa mazoezi hayo Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Isabela chilumba, amewashukuru na kuwapongeza watumishi wa Halmashauri na Taasisi zote za Serikali waliohudhuria mazoezi,  na kuwataka kuendelea kufanya mazoezi kila mara ikiwa ni agizo la Mh Samia Suluhu Hasan , Makamu wa Rais wa Tanzania,  kama alivyoagiza jumamosi ya pili ya kila mwezi ni siku ya Mazoezi ya Viungo.

Ametoa wito kwa wananchi na watumishi wa Umma kufanya mazoezi binafsi , kila siku ili kujenga miili yao na kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya kifua,  kufahamiana na kujenga ari ya kushirikiana kwa wafanyakazi.

“Leo ni siku ya Mazoezi kwa wakazi wa Wilaya ya Nyasa tunaitumia siku hii kufanya mazoezi ili kuweza kujenga miili yetu, isishambuliwe na magonjwa, lakini pia michezo inasaidia kuleta upendo, na kujenga mshikamano pamoja na kufahamiana, hivyo kama wana Nyasa tunatekeleza, Pia Agizo la Mh,Samia Suluhu Hasan Makamu wa Rais wa Tanzani kwa kuwa ametutaka kufanya mazoezi kila jumamosi ya pili ya mwezi na Nyasa Tunatekeleza.

Aidha ametoa wito kwa wafanyakazi wote, kujitokeza kwa wingi katika mazoezi ambayo yanafanyika kila jumamosi.

Kwa uoande wao watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa wamesema wanafurahia sana mazoezi kwa kuwa yanawafanya wawe vizuri kiafya na kuwafanya waongeze ari ya Utendaji kazi.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.