• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WATUMISHI wa Wilaya ya Nyasa wampongeza Mhe.Rais Dkt Samia,Upandishaji Vyeo

Posted on: July 1st, 2024

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, wamemshukuru na kumpongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapandisha madaraja kila baada ya miaka 4 kwa waajiriwa wapya na kwa kila baada ya miaka mitatu kwa walioko kazini.

Wameyasema hayo wakati wakizungumza na mwandishi wa Habari hizi na kupitia grupu la watumishi wa Umma la Wilaya ya Nyasa, baada ya kuona mabadiliko makubwa tangu mh.Rais aingie madarakani.

 Jumla ya watumishi wa Umma 823 wamepanda madaraja kwa mwaka wa fedha 2023/2024 wilayani Nyasa.

 Watumishi wamefafanua kuwa kila muda wa kupanda madaraja ukifika wanapanda bila kuuliza wala kufuatilia, hivyo wanampongeza mhe. Rais kwa kazi nzuri anayoifanya kwa kuboresha maisha ya wafanyakazi yanayopelekea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa pamoja na  kuongeza kujituma zaidi.

Mwalimu Denis Ndomba wa shule ya msingi Matarawe, iliyopo kata ya Tingi wilayani hapa amesema Hakika Serikali ya awamu ya Sita inafanya kazi kubwa inastahili pongezi,   na watumishi wa Halmashauri ya Nyasa Tunamuunga mkono kwa asilimi 100 Mh.Rais Samia.

Afisa Mtendaji wa Kata ya Linga Juma Ndimbo amesema Anampongeza Rais Samia kwa kusimamia Stahiki za wafanyakazi, kwa kupanda madaraja kwa wakati ”kwa kweli inapendeza bila kufuatilia unakuta tayari umepanda daraja kwa kweli Serikali inafanya kazi nziri ya kuwajali watumishi wake tunahakikisha tunatatua kero za wananchi na kuto huduma bora nka tunavyopata sisi.”

Pia wamempongeza Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Bw. Khalid Khalif na Divisheni ya Utawala na Raslimali watu kwa kuhakikisha kuwa kila anayestahili kupanda cheo anapanda kwa wakati na kutekeleza kwa wakati  maagizo ya Mh.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.

“Tunaona wakati wa zoezi la kupandisha madaraja Mkurugenzi na timu yake wanafanya kazi usiku na mchana ili kutoa huduma bora kwa wafanyakazi wake tunampongeza sana”

Watumishi wamemuahidi Mh. Rais kuwa watatekeleza majukumu yao ipasavyo na kuongeza bari ya kuchapa kazi na kumuung mkono kwa kutangaza mazuri yake.

Imeandaliwa na

Netho Sichali

Afisa Habari Wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.