• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WATUMISHI WA HALMASHAURI YA NYASA WAPEWA MAFUNZO NA OFISI YA RAIS.

Posted on: December 16th, 2020

Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa jana, wamepewa mafunzo ya  maadili kwa watumishi wa umma, na jinsi ya kushughulikia Malalamiko ya wananchi na wafanyakazi mafunzo yenye lengo la kukuza maadili, kwa watumishi wa umma na kutatua malalamiko kwa haraka.

Mafunzo hayo yametotolewa na 0fisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora, yaliyotolewa na Jusseim Mwakipesile, ambaye ni Mkurugenzi Msaidizi ukuzaji wa maadili kutoka katika ofisi hiyo.

Bw. Mwakipesile amefafanua kuwa serikali ya awamu ya Tano imedhamiria watumishi wake watoe huduma bora kwa wananchi, hivyo tunakila sababu ya kuhakikisha kuwa Utoaji wa huduma za serikali unazingatia sheria kanuni na Taratibu, lakini pia wateja wafurahie huduma bora kutoka Ofisi za Umma ili wananchi wawe na imani na ofisi zao za umma.

Ameongeza kuwa, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha kuwa kila mtumishi wa umma anawajibika kutoa huduma bora kwa wananchi, hivyo ni wajibu kukumbushana na kutoa mafunzo kwa watumishi ili kuwakumbusha kuwa utoaji huduma bora kwa wananchi ni wajibu wa kila mtumishi kama alivyoomba kazi na sio hiari.

Aidha katika ushughulikiaji malalamiko, amewataka watumishi kuhakikisha wanatatua malalamiko kwa wananchi kwa haraka na kama malalamiko hayawezi kutatuliwa katika ngazi yake ya utawala basi ahakikishe anayafikisha katika ngazi inayofuata kwa haraka. nNa akasema kama watumishi wa umma watakuwa wanatatua kero zote za wananchi wananchi watakuwa wanafanya kazi za kujiletea maendeleo kwa haraka.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • View All

Latest News

  • Maafisa habari/Tehama wapewa Mafunzo Ruvuma

    May 29, 2023
  • Dc-Nyasa TASAF NI Kiboko Cha utatuzi Kero za wananchi

    May 23, 2023
  • Uvuvi haramu marufuku ziwa Nyasa, wenye Nyavu haramu wajisalimishe

    May 18, 2023
  • Kikao Cha kamati ya Lishe

    May 17, 2023
  • View All

Video

NYASA yampongeza Rais SAMIA jengo jipya la Utawala
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.