• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WASIMAMIZI WASAIDIZI UCHAGUZI WAPEWA MAFUNZO NYASA

Posted on: September 20th, 2019

Halmashauri  ya  Wilaya ya  Nyasa Mkoani Ruvuma, Jana na leo  imetoa mafunzo kwa wasimamizi wasaidizi  kwa ngazi ya Kata na Vijiji yenye lengo la kuwajengea  uwezo, wasimamizi ambao wanatarajia  kusimamia uchaguzi WA Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba  24 mwaka huu.

Mafunzo haya ya siku moja yamefanyika katika ukumbi wa shule ya msingi mbambabay  na shule ya msingi Lituhi wilayani hapa.

Akifungua mafunzo  hayo kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyasa Bw Liston Moyo, aliwataka washiriki kusoma kwa umakini na bidii ili kufahamu majukumu yao.Pia aliwataka wasisite kuuliza kama kuna jambo hawajaelewa kwa kuwa ni muhimu sana kwa wasimamizi kuzijua taratibu ,sheria na kanuni pamoja na miongozo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa ili wajengewe uwezo wa kusimamia uchaguzi .

Moyo aliongeza kuwa lengo la uchaguzi ni kuwapata viongozi watakaokuwa wanafanya maamuzi, ngazi ya vitongoji na vijiji kwa kuwa ni ngazi ya msingi sana ya utawala wa Serikali.  hivyo wasimamizi wa uchaguzi wanatakiwa kuwa na uelewa wa kutosha wa maelekezo ya uchaguzi ili waweze kutekeleza majukumuyao kwa weledi.

“Ndugu wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa , mnatakiwa kusoma kwa bidii na kuyatambua majukumu yenu ili muweze kutekeleza majukumu yenu kwa weledi mnatakiwa kwanza mjengewe uwezo nakuyafahamu majukumu yene ipasavyo.hivyo mnatakiwa kuelewa vizuri sheria kanunina miongozo yauchaguzi.usitoke bila kufahamu kama kuna mahali hujaelewa ulizaili upate ufahamu.”Alisema Moyo

Afisa uchaguzi wa Halmashauri yaWilaya ya Nyasa Bw.Jabir Chilumba alisema Wilaya ya nyasa wamejiandaa vema kwamaandalizi yote ya Uchaguzi ili uweze kufanyika kwa kufuata Sheria kanuni naTaratibu za uchaguzi wa Serikali za mitaa ya mwaka 2019.

Mafunzo haya ni ya siku moja nayanafanyika Makao makuu ya kila Tarafa na tayari Tarafa ya Luhekei naLuhuhu  yamefanyika na kesho yatafanyikamakao makuu ya Tarafa ya Mpepo,kijiji cha Tingi Kata ya Tingi Wilayani Nyasa.

 

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.