• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WANAWAKE NYASA WAMPA TUZO Mbunge Manyanya, waridhishwa na uchapakazi wake

Posted on: March 15th, 2025

YALIYOJIRI usiku wa mwanamke Wilaya ya Nyasa.

Wanawake wa Halmashauri ya wilaya ya Nyasa wamemchagua na kumpa Tuzo maalum Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella manyanya ili kuthamini uongozi wake ambao umetatua changamoto mbalimbali za wananchi na kukimbiza maendeleo katika sekta za Elimu, afya , Miundombinu na Utawala Bora.

Wanawake hao wamempa Tuzo hiyo wakati wakiadhimisha  usiku wa mwanamke katika Ukumbi wa Baylive Mbamba bay wilayani Nyasa.

Akizungumza wakati wa utoaji tuzo kwa niaba ya wanawake wa wilaya ya Nyasa, Mwalimu Mbepera  amesema kama wanawake wameona watumie siku hiyo kutoa tuzo kwa wanawake majasiri ambao wamekuwa wakipambana na kutekeleza mjukumu licha ya vikwazo wanavyokutana navyo.

“Amefafanua kuwa mbunge wa jimbo la Nyasa Mhe Manyanya amefanya kazi kubwa sana ya kulijenga jimbo la Nyasa kwa kuleta Miradi ya maendeleo kama barabara ya Lami Mbinga Mbamba bay, ujenzi wa Bandari ya Ndumbi na Mbamba bay, utekelezaji wa Miradi ya Elimu, amehakikisha ameboresha shule kwa kujenga madarasa na shule mpya wakati sekta ya Afya amejenga vituo vya afya na zahanati pamoja na Hospitali ya wilaya na kuhamasisha wanawake kujifungua Hospitali hali iliyopunguza vifo vya akinamama wajawazito.

Ameongeza kuwa Jimbo la Nyasa kwa kipindi chake amefanya kazi kuwa na nzito kukimbiza maendeleo, hivyo zawadi wanayokwenda kumpa ni kumshukuru na kumpongeza na kuthamini mchango wake katika maendeleo ya Nyasa.

Wanawake hao wamesema wanamuunga mkono kwa asilimia mia moja na wako tayari kuungana nae katika uchaguzi utakao fanyika mwaka  huu 2025.

Akizungumza katika Hafla hiyo Mbunge wa Jimbo la Nyasa amesema anawashukuru wanawake wa wilaya ya Nyasa kwa zawadi ya kuthamini mchango wao na kuahidi kuendelea kuwatumikia na kutatua changamoto zinazowakabili.

Amewataka kuendelea kulea familia na kuongeza watoto kwa kuwa wilaya ya Nyasa ina watu wachache kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi idadi hii ni ndogo kwa wilaya yetu ambayo inahitaji maendeleo hivyo tujitahidi kuongeza uwingi wa watu .

Tuzo hizo pia zimetolewa kwa mama Chimo ambaye licha ya mumewe kupata changamoto za kiafya ameendelea kulea na kumthamini mumewe wakati Ene Kaboma ana mtoto mlemavu lakini anamtunza na kumthamini,

Wanawake hao wamesema kila mwananchi anavyoishi jamii inajua hivyo kila mtu ahakikishe anaishi vizuri na jamii pamoja na kshirikiana.

Maadhimisho haya yamekwenda sambamba na kuoa elimu ya ujasiliamali, elimu ya VETA kwa wanawake ambao wamepewa wito wa kujiunga na Chuo cha Ufundi stadi Veta ili kuinua hali ya Maisha.

Aidha wamempongeza Rai wa Tanzania DKT Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji miradi na Utawala bora pamoja na kutoa mikopo kwa wanawake pamoja na makundi maalum, ambao wamesema kura zote za wanawake atazipata.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.