• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WANANCHI WAMPONGEZA KAMANDA WA POLISI

Posted on: July 10th, 2019

Wananchiwa Kata ya Mpepo Wilayani Nyasa, wamempongeza Kamanda wa Jeshi la polisi Mkoa wa Ruvuma Simon  Maigwa, kwa kuwakikishia usalama wa mali namaisha licha ya kuishi Karibu na mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

Wananchihao, wametoa pongezi kwa kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma, katikaMkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kijiji cha Lunyele kata ya Mpepo WilayaniNyasa hivi karibuni. Mkutano aliokuwa na lengo la kuimarisha ulinzi shirikishikatika eneo la mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Msumbiji.

Wananchihao walifafanua kuwa awali, kulikuwa na matukio yaliyokuwa yakiwapa hofu yakufanya kazi zao, kwa kuwa  ilikuwahaiwezekani kwenda hata kulima shambani,  lakini mara baada ya kuimarisha Ulinzi naUsalama, sasa wanafanya kazi zao kwa amani, na kumtaka Kamanda huyo kuwapakibali cha kujenga kituo cha Polisi katika Tarafa ya Mpepo ili kuwezakukabiliana na matukio ya kihalifu katika Tarafa ya Mpepo kwa kuwa ni  tarafa inayopakana na Nchi jirani Ya Msumbiji.

Wananchihao waliongeza kuwa wana imani na kamanda huyo, kwa kuwa tukio linapotokea huwaanakuja mwenyewe, bila kutuma mwakilishi na hata leo katika mkutano wakuimarisha ulinzi shirikishi na usalama wewe mwenyewe umekuja.

“Kamandawa Polisi sisi tuna imani kubwa  sana nawewe kwa kuwa kila mara umekuwa pamoja na sisi bila kutuma mwakilishi unafikawewe mwenyewe. sisi sote uliyozungumza tumeyaelewa na tutayafanyia kazi natunakupongeza sana kwa juhudi zako za ufanyaji kazi wako alisema KilianiKumburu huku akishangiliwa na wananchi wengine” .

Kamandawa jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma  simonMaigwa, Akiongea na wananchi hao katika mkutano huo wa hadhara, aliwahakikishiaUsalama wa mali na maisha yao, na kuwataka wafanye kazi za kujenga taifa bilawoga wowote kwa kuwa mkoa wa Ruvuma ni salama na hakuna tatizo lolote naatakayeingia kwa kujaribu kuhatarisha Usalama kamwe hataweza,na hatatokasalama.

Aliongezakuwa kuhusu ombi la ujenzi wa kituo cha  polisi cha kisasa kitakachohudumia Tarafa yaMpepo Wilayani hapa, amelipokea na hana pingamizi lolote na atashirikiana naokwa hali na mali katika kutatua changamoto za ujenzi  huo, na atawaletea polisi na vifaa kwa ajiliya kuhakikisha jamii inakuwa salama muda wote na wanafanya kazi bila uogawowote.

“Napendakuwaeleza ndugu wananchi wa kata hii ya Mpepo kuwa Ruvuma ni salama kila mtuaendelee kufanya shughuli zake za kujiletea maendeleo,yeyote atakayejaribukuingia na kujaribu kutishia amani wananchi kamwe, hatatoka salama. Nanimesikia mnahitaji kujenga kituo cha Polisi hakuna tatizo tushirikiane tujengena mimi nitaleta Askari mara baada ya kujenga kituo cha kisasa cha polisikataka kijiji cha tingi ambapo ni makao makuu ya Tarafa ya Mpepo”alisemakamanda Maigwa.

Aliongezakuwa katika kila Kata ameleta polisi Kata ambaye anatakiwa Kuishi katika katahusika na kuhakikisha ulinzi na Usalama unaimarika kila kata.Hivyo aliwatakawamnanchi hao kushirikiana na Polisi kata aliyeletwa.

Aidhakatika hatua nyingine aliendesha harambee ya kuchangia ujenzi wa kituo chaPolisi, cha Tarafa ya Mpepo ambapo jumla ya shilingi laki mbili na ishirini nanne elfu (224,000/=) zilipatikana na kukabidhiwa kwa Ofisa Tarafa wa Tarafa yaMpepo.

NayeMkuu wa wilaya ya Nyasa  Isabela Chilumbaambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika  Wilaya hii aliwataka wananchi kuhamasika nakujitoa kwa dhati kuchangia ujenzi wa kituo hicho cha polisi kwa kila kayakuchangia nguvu zao kwa kuwa, ulinzi ni muhimu sana katika jamii . kwa sasakituo kilichokuwepo ni kidogo ambacho hakina uwezo wa kuhudumia Tarafa yote yaMpepo.

Piaaliwataka viongozi wa serikali ya vitongoji, Kijiji, na Kata zote kuwa naDaftari la kusajli wageni wote wanaoingia ili kuweza kujua ni wahalifu au niraia wema.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.