• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WANANCHI WAIPONGEZA RUWASA RUVUMA

Posted on: July 27th, 2023

RUWASA MKOA WA RUVUMA WAPEWE MAUA YAO.

Makamu wa Rais Dkt Philipo Mpango amefanya ziara ya kikazi mkoa wa Ruvuma na kuzindua miradi mbalimbali. Akiwa Wilayani Nyasa ameweka jiwe la Msingi katika Mradi wa maji wa Liuli group uliofikia wastani wa asilimia 85 ya utekelezaji wake.

Mradi huu ukikamilika unakwenda kutatua changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama Katika Kata ya Liuli yenye vijiji 5 vya Nkalachi,Liuli,Hongi,Mkali A na Mkali B, yenye wananchi 15,823 na watatumia muda mwingi kufanya shughuli za maendeleo za kujiongezea kipato badala ya kutembea umbali mrefu wa kutafua maji safi na salama.

Akizungumza katika Mradi huo makamu wa Rais aliridhishwa na utekelezaji wa Mradi huu wa maji na kuwapongeza viongozi wa Mkoa na Wilaya ya Nyasa kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maji.

Kwa upande wake Wananchi wa Kata ya Liuli wamepongeza, Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini RUWaSA kwa utekelezaji bora wa miradi ya maji katika Mkoa wa Ruvuma,hususani Wilaya ya Nyasa.

mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza Kwa niaba ya wananchi ameipongeza RUWASA Kwa kutekeleza miradi ya Maendeleo sekta ya maji inayotekelezwa Wilayani hapa.

"Nichukue fursa hii kuipongeza RUWASA na watendaji wote Kwa kazi nzuri wanayoifanya Wilayani Nyasa"

Nikiwa katika eneo la Uwekaji wa Jiwe la msingi niliona wananchi wakimtafuta Meneja wa wakala wa Maji na usafi wa mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Rebman Ganshonga huku wakimshangilia na kumpongeza kwa kazi nzuri anayoifanya ya utekelezaji wa miradi ya maji katika Wilaya ya Nyasa,”Wakiimba tuletee meneja,tuletee meneja”

Sio jambo dogo kwa wakati tulionao wananchi kumpongeza mtendaji hasa anapotekeleza mradi,ni jambo kubwa sana kwa kuwa wananchi kwa sasa wanauelewa wa hali ya juu namna ya utekelezaji wa miradi.

Wilayani Nyasa kuna jumla ya Miradi 06 inayoendelelea ambayo ina jumla ya Tsh Bilioni 19.5 katika kata za Lituhi,liuli,Ngumbo, Tingi Kilosa na Kihagara ambayo inatarajia kumaliza kero kwa wananchi 71,886 wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa.

RUWASA Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Viongozi wa Serikali Wilayani Nyasa wamekuwa makini kushughulikia na kusimamia  miradi inyotekelezwa n kwa kutoa ushirikiano wa hali ya Juuu ukuiongozwa na meneja waRUWASA  Mkoa wa Ruvuma  Mhandisi Ganshonga.

Kiongozi wa Mwenge wa Uhuru 2023 Aliweka jiwe la Msingi katika Mradi wa maji wa Ngumbo  Wilayani Nyasa, ambao utahududumia wananchi 11080 wa kata ya Ngumbo na Liwundi,akiweka jiwe la Msingi kiongozi huyo aliridhishwa na ujenzi wa miundombinu ya Maji katika mradi huo na kuwapongeza RUWASA kwa kazi nzuri wanayoifanya ya utekelezaji wa Miradi ya maji ambayo inatatua kero ya wananchi ya kupata maji safi na salama na kutumia muda mwingi kufanya kazi za kujiongeza kipato.

Mwenge wa uhuru 2023 katika miradi yote ya maji Mkoani Ruvuma ilifungua na kuweka Mawe ya Msingi,miradi yote ya maji na kupongeza.

Uchunguzi uliofanywa na Mwandishi wa Habari hizi umebaini kuwa Miradi ya Maji mkoani Ruvuma inatekelezwa ipasavyo na kutatua changamoto ya wananchi,ushuhudamwingine nilioupata katika Halmashuri ya Wilaya ya Mbinga katika Kijiji cha Paradiso Ambapo wakati wakikabidhiwa Mradi wa maji wananchi walishindwa kujizuia na kulia kwa furaha pamaoja na kucheza ngoma aina ya mganda na Kioda huku wakisema Hongera Serikali kwa kututatyulia changamoto ya Maji.

Namaliza kwa kusema, Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpeni,RUWASA Mkoa wa Ruvuma wanastahili pongezi kwa kutekeleza vema miradi ya Maji.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.