• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WANANCHI waiomba Serikali kutatua kero ya Kiboko

Posted on: July 11th, 2024

Wananchi wa Kata ya Mtipwili na Chiwanda Wilayani Nyasa wamekumbwa na Taharuki baada ya Kiboko Kuvamia mashamba na kula mazao ya mihogo,Mpunga na Viazi katika Vijiji vya Chiulu,Kwambe,Mtipwili na Malini.

Wananchi hao wametoa kero inayowakabili, katika Mikutano ya Hadhara katika Vijiji hivyo ambapo Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh. Peres Magiri anafanya Ziara ya Kikazi ya Kukagua Miradi ya maendeleo, Kusikiliza na kutatua kero za wananchi,kupitia Kampeni  yake “Kijiji kwa Kijiji”.

Wananchi hao wamefafanua kuwa , moja ya kero inayowakabili ni uharibifu wa mazao ya chakula yanayoharibiwa na viboko ambao wapo wawili, wanaotembea pembezoni mwa Ziwa Nyasa katika kata ya Mtipwili na Chiwanda hivyo kuwapa wasiwasi mkubwa wa mazao na uhai.

Awali wametoa Taarifa Ofisi ya Maliasili na wataalam wamefika, zaidi ya mara mbili na kutofanikiwa kumuona.Hivyo Mh. Mkuu wa Wilaya tunaomba utusasaidie kutatua kero hii ili tuweze kuwa na amani.

Diwani Viti maalum Kata ya Chiwanda,Catherine Mawila  amethibitisha mbele ya Mkutano huo, ni kweli kero hii inawasumbua sana wakazi wa wa Kata ya Chiwanda na Mtipwili na kuwataka kutoa ushirikiano kwa Askari wa Mali Asili wanapofika mkatika maeneo yao.

“Ni kweli tatizo hili lipo na linawakabili wananchi wa Kata hizi mbili za Mtipwili na Chiwanda ,ila wakija askari huyu kiboko haonekani na wakiondoka anaonekana sasa sisi wananchi tunatakiwa kutoa ushirikiano”

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mh.Peres Magiri amesema anaichukua kero hii na kwenda kuifanyia kazi ili kutatua changamoto hii, kwa haraka iwezekanavyo ikiwa ni pamoja na kuwataka Askari wa Maliasili kuja kukaa kwa muda mrefu ili waweze kuwaua Viboko.

Aidha amewaagiza wananchi kufanya kazi kwa juhudi kwa kutotegemea mazao ya Uvuvi pekee bali wajikite kwenye kilimo cha mahindi,maharage,soya,mbaoga mboga, na mazao mengine yanayostawi katika mazingira hayo.

Imeandaliwa na

Netho sichali

Afisa Habari wilaya ya Nyasa.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.