• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wananchi Mpepo Waipongeza Serikali na Mbunge Manyanya Kwa kutatua kero ya Umeme/Barabara

Posted on: September 18th, 2023

Wananchi wa Kata ya Mpepo Wilayani Nyasa wameipongeza Serikali ya awamu ya Sita, na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya Kwa kutatua kero ya Barabara na Umeme.

Pongezi hizi wamezitoa katika sherehe za Ufunguzi wa Tawi la Simba zilizofanyika katika Kijiji Cha Lunyere(Darpor) Tarehe 17/09/2023 na kuhudhuriwa na wananchi na mgeni rasmi alikuwa Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya.

Wananchi hao wamefafanua kuwa Kwa muda mrefu walikuwa na kero ya Barabara kutoka Tingi, Mpepo Hadi Darpor (mpakani mwa Nchi ya Msumbiji na Tanzania,na Umeme ambayo imedumu Kwa muda mrefu .

 changamoto ya usafiri  walikuwa wakilipa nauli kubwa, magari yaliyokuwa yakifika ni Randrover lakini Kwa Kwa sasa, basi na magari ya Kisasa yanakuja na nauli zimepungua.

Wameongeza kuwa Umeme ilikuwa ni changamoto kubwa lakini Kwa sasa mambo ni mazuri hatuna deni na Serikali tunakupongeza sana Mbunge na tunaipongeza Serikali ya Rais  Dkt SAMIA Suluhu Hassan Kwa kutatua changamoto hizi.

Aidha wamemwambia mbunge Shukrani zao watampa 2025 watakapompa kura zote za ndio.

Aidha wameipongeza Serikali Kwa kuboresha sekta ya michezo inayoongeza upendo Kwa wananchi wake.

Tawi la Simba  DARPOR limefunguliwa na Mbunge wa jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya akiwaomba ushirikiano wa Hali ya juu wa wananchi wote Kwa timu zote Simba na Yanga na kuwataka kufanya kazi Kwa bidii na kuboresha sekta ya michezo Kwa kuwa na timu za mpira Kila kata na Kijiji.

Amesema Wilaya ya Nyasa inatarajia kujenga uwanja wa kisasa wa michezo na kuanzisha Timu ya Wilaya ya Nyasa, itakoyosheheni vipaji mbalimbali kutoka Wilayani Nyasa.

Aidha amegawa jezi pea mbili Kwa Timu ya Mpepo na Darpor Kwa lengo la kuhamasisha michezo.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.