• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WANANCHI KIJIJI CHA TINGI WAJENGA MADARASA MAWILI

Posted on: July 22nd, 2020

Wananchi wa kijiji cha Tingi, Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo wilayani Nyasa, wamejenga Madarasa mawili na Ofisi kwa Lengo la kujenga Shule mpya, katika Kitongoji cha Maramara kwa kuwa Shule ya Mwanzo ya Tingi imejengwa eneo la Parokia ya Tingi , hivyo wananchi wanahitaji shule iliyojenga kwa nguvu zao ili waweze kuimiliki.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Tingi Bw Dastan Kawonga,  amesema hayo hivi karibuni wakati  akitoa Taarifa ya Ujenzi wa Madarasa hayo,  kwa Mkuu wa Wilaya ya NyasaBi  Isabela Chilumba Alipotembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Shule  hiyo.

Bw kawonga alifafanua kuwa, wananchi wa kijiji cha Tingi wamekubaliana kujenga Shule Mpya kwa lengo la kutatua changamoto iliyowakumba,  kwa kuwa na Ongezeko la  Wanafunzi wengi katika Shule Msingi Tingi,  ambayo ni ya mda mrefu na ilijengwa na wakoloni na majengo yake yamechakaa,  lakini pia yapo katika eneo la Parokia ya Tingi hivyo kama jamii,  haiwezi kumiliki na kupata Hati za Umiliki wa Kisheria

Aliongeza kuwa wanawasiwasi, wanaweza wakanyanganywa ,  wameamua kuanza mikakati ya kujenga shule Mpya iliyopo eneo la Maramara,  kwa kuwa wanajenga eneo la Kijiji ambalo wanaweza kupata hati ya kumili kisheria na Shule ikawa mali ya jamii.

Aidha alimhakikishia mkuu wa Wilaya ya Nyasa,  kuwa wananchi hao kwa kutambua umuhimu wa Shule hiyo watajenga kwa asilimia mia moj,a hadi kukamilika na inatarajia kukamilika na kuanza kutumika Mwaka huu,  kwa kuwa mpaka sasa wananchi wamefyatua Matofari,  60,000 na wamejenga madarasa mawili na ofisi ambayo yapo ngazi ya Linta na wamechangia michango ya awali tsh 1,764,000 na wanaendelea na michango.

“Mh Mkuu wa Wilaya ya Nyasa, sisi wananchi wa Tingi tumeamua kwa pamoja kujenga majengo mengine ya Shule ya Msingi Tingi, kwa sababu zifuatazo, Shule ya Msingi Tingi ina wanafunzi zaidi ya mia nane,  tunalazimika kuanzisha kujenga majengo mengine, Lakini pia tuna wasiwasi Majengo ya awali yalijengwa katika eneo la Parokia ya Tingi,  na yalijengwa na Wajerumani kwa hiyo majengo mengi yamechakaa hivyo tunashindwa kuyaboresha au kujenga mapya  kwa kuwa hatujui hatma yake , Tumeamua tujenge majengo mapya ambayo tutayamiliki kisheria. Mpaka sasa tumetafuta eneo lenye Hekari saba na Tunaendelea kuongeza eneo jingine ili tupate maeneo ya kutosha,  kwa kuwa Kijiji kina maeneo makubwa nay a kutosha. Wananchi wamehamasika na hili jengo limejengwa kwa siku 10 tu”. Alisema Kawonga.

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Isabela Chilumba, Aliwapongeza kwa jitihada za jamii walizozifanya,  na kusema wananchi wameshirikiana vizuri na kuonyesha wameguswa na ujenzi huo, kwa kuamua kujenga wenyewe mpaka jengo lilipofikia na aliwaagiza wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa kushirikana na wananchi hao kwa kupima maeneo na kutoa hati ya umiliki .

Aliwahamasisha wananchi kuendelea na ujenzi mpaka ukamilike kwa asilimia mia moja na kuwaahidi Serikali itawasaidia kwa kutatua changamoto zitazojitokeza.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.