• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wananchi Chiwanda waipongeza Serikali kutatua changamoto ya Umeme

Posted on: July 22nd, 2024

Naibu Waziri wa Nishati mh.Judith Kapinga tarehe 22/07/2024 amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Wilayani Nyasa, na kuzindua mradi wa umeme katika shule ya Sekondari ya Nyasa, pamoja na kufanya matendo ya Huruma katika Kituo Cha Afya Cha Mbamba bay wilayani hapa.

Akizungumza na wananchi wa wilaya ya Nyasa, katika Kata ya Chiwanda amesema amelazimika kufanya ziara hiyo baada ya kuona Wilaya ya Nyasa na Mbinga miradi ya umeme ya REA, haijakamilika kwa ngazi ya vijiji. Amemtaka mkandarasi wa REA kukamilisha kwa haraka miradi hiyo Ili waweze kuanzA kutekeleza miradi ya umeme kwa kupeleka Kila kitongoji.

Amewapongeza Rea kwa kuhakikisha umeme umefika katika Kata ya Chiwanda na kuwataka kuhakikisha kuwa Kila Taasisi ya Serikali,Dini inafikiwa na huduma ya umeme.

Aidha amesema kwa Wilaya ya Nyasa huduma ya umeme tayari imefika katika vijiji 84.

Ametoa wito kwa wananchi wa wilaya ya Nyasa kutumia fursa ya umeme kujiletea maendeleo kwa kuanzisha biashara mbalimbali.

Ametoa wito kwa wanafunzi kutumia fursa ya umeme kwa kusoma kwa bidii na kuongeza ufaulu.

Kwa upande wao wananchi wa wilaya ya Nyasa wameipongeza Serikali kwa kutatua changamoto ya Umeme katika Kata ya Chiwanda ambayo Iko mpakani mwa Nchi ya Tanzania na Msumbiji.

Akiongea kwa niaba ya wananchi wa kata hiyo Diwani wa viti maalumu Chiwanda mh.Catherine Mawila "mh.Naibu waziri Nishati tunaipongeza Serikali kwa kutatua changamoto ya Umeme katika Kata hii kwa kuwa mwanzo tuliona tumetengwa. Lakini kwa Sasa tunaendelea vizuri "

Akikamilisha ziara yake ya kikazi amefanya matendo ya huruma kwa kugawa Nishati mbadala jiko la gesi na vifaa mbalimbali kwa akina mama waliojifungua katika kituo Cha Afya mbamba bay.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.