• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

Posted on: June 28th, 2025

Na Byarugaba Innocent, Nyasa 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameidhinisha kiasi cha fedha shilingi 798,894,692.68 kwa ajili ya kujenga miundombinu mipya ya sekta ya afya pamoja na kukarabati ya zamani ili iendelee kuwanufaisha wananchi 191,193 wa wilaya ya Nyasa na Wilaya jirani za Mbinga Mji na Vijijini

Mapokezi ya fedha hizo yamebainishwa na kaimu Mkuu wa divisheni ya Mipango na uratibu Aliko Anthony Mwabukusi na kwamba maeneo yote ya ujenzi, ukamilishaji na uboreshaji yameanishwa tayari kwa utekelezaji

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Khalid Khalif amemshukuru, kumpongeza na kumwombea afya njema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan  kwa mapenzi yake makubwa  kwa wananchi a Wilaya ya Nyasa kwa kuendelea kuimarisha  sekta ya afya  na kwamba jukumu lililo mbele yake ni kuisimamia miradi yote iweze kukamilika kwa wakati, ubora  unaolingana na  thamani ya fedha iliyotumika ili iweze  kuwanufaisha  wananchi kwa kutatua  changamoto zao za kiafya.

“..hii ni neema  na faraja kubwa sana  kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa, Mhe.Rais ameendelea kutupenda na kutujali kwa kutupatia kiasi kikubwa cha fedha  kukamilisha  na kujenga miradi  mipya, jukumu letu wananchi ni kuilinda, kuitunza ili iwe kutumika  muda mrefu” amesema Mkurugenzi Khalid

Fedha zilizopokelewa zinakwenda kutekeleza  ujenzi wa zahanati ya Liweta shilingi 282,557,336.00,ujenzi wa kituo cha afya Chiwanda shilingi 250,000,000.00,ukamilishaji wa Zahanati za Mipotopoto, Mtetema na Nkaya shilingi 180,000,000.00 na uboreshaji wa Zahanati ya Litindo na kituo cha afya Liparamba shilingi 86,637,356.68

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • RAIS SAMIA AMWAGA MAMILIONI YA EDHA KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NYASA DC

    June 28, 2025
  • TAARIFA YA MAENDELEO YA JAMII

    June 26, 2025
  • KICHEKO CHATAWALA TAFRIJA YA KUWAAGA MADIWANI

    June 19, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.