• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

Wanafunzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi VETA watakiwa kuwa waaminifu na waadilifu DC Nyasa

Posted on: August 24th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Peres  Magiri, amewataka wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Nyasa kusoma kwa bidii, na kuwa waamifu na waadilifu. Ameyasema hayo, tarehe 23-08-2024 wakati akizungumza na wanafunzi katika Ukumbi wa Chuo hicho, alipofanya Ziara ya kikazi ya Siku moja ya kutembelea na kukagua Chuo cha ufundi tadi VETA na kusikiliza na kutatua kero za Chuo hicho..

Akizungumza na wanafunzi na watumishi Mhe. Magiri amewataka wasome na wajifunze kuwa waaminifu na waadilifu  kwa kuwa,Kazi zipo nan i nyingi katika jamii zetu.

“kazi ziko nyingi,mfano kuna fani ya ujezenzi hapa na watu kila siku watu wanajenga Nyumba hivyo in ategegemea ni jinsi gani umejipanga na unafanyaje kazi,kama ukiwa mwaminifu,mkweli na muadilifu kamwe hutatamani kuajiriwa utafanya kazi mpaka zingine unakataa”

Ameongeza kuwa Serikali imejipanga kutoa fani mbalimbali katikaVyuo vya VETA ili kila mhitimu awe na uwezo wa kujiajiri badala ya kutegemea ajira za Serikali,hivyo amewataka kusoma kwa bidii n kuwa waaminifu katika kazi zao.

 Aidha ametoa wito kwa wazazi ,walezi wa Wilaya ya Nyasa, kuwaleta vijana katika chuo cha Veta Nyasa ili wapate ujuzi ambao atauhitaji na ataweza kujiajiri ili kujiletea maendeleo.

“Nitakuwa Balozi wa Hiki chuo hivyo katika mikutano yangu ya hadhara kwa kwa kila kijiji nitahamasisha wanachi kuwaleta vijana ili wajipatie ujuzi kwa maendeleo n kuweza kujiajiri.Ameahidi kutatua mchangamoto zilizopo katika cho hicho.

Wanafunzi wa Chuo hicho wameema watakuwa waaminifu na waadilifu na wamemuomba Mkuu wa wilaya ya Nyasa endapo ikitokea fursa ya kazi awakumbuke kwa kuwa ni wataalam wazuri wanaonolewa katika chuo chake.

Awali Mkuu wa Chuo cha Ufundi VETA Nyasa Lulu Chilumba amemshukuru Mkuu wa Wilaya ya Nyasa kwa kutembelea na kukagua miundombinu ya chuo hicho.

.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Karibu Mwenge wa Uhuru Wilayani Nyasa

    May 11, 2025
  • Mwenyekiti wa Tume huru ya Uchaguzi Tanzania akagua vituo vya kujiandikisha Nyasa.

    May 04, 2025
  • Dc Nyasa awataka madiwani na watendaji kubuni vyanzo vipya vya mapato

    April 30, 2025
  • DC Nyasa azindua Kituo kipya cha Mafuta

    April 26, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.