• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WALIMU wapewa mafunzo ya uthibiti ubora wa shule Nyasa

Posted on: December 17th, 2021

Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Kanali Laban Thomas tarehe 16.12.2021, amefungua mafunzo ya uthibiti ubora wa shule wa ndani yenye lengo la, kuwajengea uwezo walimu wakuu pamoja na maafisa Elimu Kata kuthibiti ubora wa Shule katika Shule zao.

Mafunzo haya yanafanyika katika Kituo cha walimu kilichopo katika Shule ya Msingi ya mchepuo wa Kiingereza Lovund Wilayani  hapa.

Akifungua mafunzo hayo, amewataka walimu hao Kufanya kazi kwa bidii kwa kuzingatia maadili na  kuendesha shughuli zao kwa kuzingatia kanuni za Utawala bor,a ikiwa ni pamoja na Uwazi na ushirikishwaji jamii hasa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kufahamu jamii inategemea kujifunza kutokana na walimu, kwa kuwa walimu ni kioo cha jamii.

Ameongeza kuwa, lengo la mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa kufanya uthibiti wa nadani wa shule hivyo wanatakiwa kuyaelewa mafunzo hayo ili waweze kufanya uthibiti wa shule kwa kuwa walimu wakuu na Maafisa Elimu kata, ni Viongozi katika maeneo yao, hivyo kama watafanya uthibiti katika shule zao mafanikio makubwa yanakwenda kupatikana ikiwa ni pamoja na kuthibiti utoro na kuongeza ufaulu katika shule zao.

Kanali Thomas ametoa Wito kwa walimu kuhakikisha wanafundisha kwa bidii na kuwajengea uwezo wanafunzi ili waweze kupata mafanikio ya kitaaluma na kuendelea na masomo kati ngazi zingine za elimu.

“Ndugu walimu nyie ni viongozi katika maeneo yenu,mpo hapa kwa ajili ya kufanya mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo ili muweze kufanya uthibiti katika maeneo yenu kama matafanya uthibiti hakika mafanikio mbalimbali yatapatikana katika maeneo yenu na Wilaya kwa Ujumla.

Awali akitoa taarifa ya Mafunzo Mthiti Ubora wa Shule Wilayani hapa bw Blancer Luambano Amesema hii ni awamu ya pili ya utoaji mafunzo na wengine tayari walishapata mafunzo hayo na mafunzo hayo ni ya siku tatu ambayo yatawajengea uwezo wa kufanya uthibiti katika maeneo yao.

Mafunzo hayo yametolewa na Ofisi ya Rais Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na mafunzo ya Ufundi.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Dc Nyasa-Wasiopeleka watoto shule wajiandae kufungwa

    November 25, 2023
  • Timu ya wataalam kutoka Ofisi ya mkuu wa Mkoa Ruvuma yakagua miradi ya Maendeleo, yampongeza Ded Nyasa USimamizi miradi

    November 18, 2023
  • Mkurugenzi Mtendaji wilaya ya Nyasa awataka watumishi wa afya kutoa huduma Bora Kwa wananchi

    November 16, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa yapokea gari jipya la kubebea wagonjwa

    November 16, 2023
  • View All

Video

JENGO JIPYA LA UTAWALA NYASADC
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.