• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAKUU WA IDARA NA VITENGO NYASA KUTOA ELIMU KWA RADIO UNYANJA FM

Posted on: August 28th, 2019

MkurugenziMtendaji wa Halmashauri  ya Wilaya ya Nyasa Bw Jimson Mhagama amewaagiza wakuu wa idara na Vitengo kutoa elimu na kusikiliza kero mbalimbali za wananchi kwa kutumia Radio Unyanja fm  ili kupunguza kero na kuwaelimisha wananchi juu ya kazi zao wanazotekeleza katika Idara na Vitengo wilayani hapa.

Ameyasemahayo hivi karibuni wakati akiwaagiza kuandaa  vipindi vya Radio Unyanja fm vitakavyorushwa Mubashara Kila siku ya Jumanne na Alhamisi saa tatu hadi saa nne asubuhikipindi kitakachojulikana kwa jina la “Tufahamishe”.

Bw Mhagama amefafanua kuwa lengo la wakuu wa Idara na vitengo kutoa elimu kwawananchi ni kuhakikisha kuwa wanazungumza na wananchi ili kutoa elimu kwa kila idara husika na kuwapa ufahamu wananchi ili waijue vema Halmashauri na kila mwananchi akiwa na shida ajue anatakiwa kwenda katika ofisi ipi.

Aliongeza kuwa kwa kufanya vipindi hivyo vitasaidia kupunguza kero kwa wananchi na kuwana uhusiano mzuri kati ya Halmashauri na wananchi, na wananchi watapata fursa ya kuuliza maswali na kujibiwa mubashara wakati wa kipindi.

Aidha ametoa wito kwa wakazi wa Nyasa kusikiliza kwa umakini kipindi hicho cha “Tufahamishe”chenye kauli mbiu ya “Nyasa Tunatekeleza” kinachoandaliwa na Halmashauri yaWlaya ya Nyasa kwa kushirikiana na Radio Unyanja fm Kila siku ya Jumanne naalhamisi saa tatu mpaka saa 4 asubuhi kila wiki.

Announcements

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA NYASA April 18, 2023
  • Tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga Taifa, (JKT) August 29, 2023
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha sikukuu ya Uhuru Kwa kufanya Kongamano

    December 09, 2023
  • Dc Nyasa, na Mbunge Manyanya, waongoza Usafi wa mazingira Hospitali ya Wilaya ya Nyasa.

    December 08, 2023
  • Wilaya ya Nyasa inaadhimisha juma la uhuru wa Tanzania bara kwa kufanya shughuli mbalimbali

    December 07, 2023
  • Nyasa kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani Kwa kupima V. V.U na kutoa Elimu ya ukatili wa kijinsia

    November 30, 2023
  • View All

Video

HAFLA YA UTIAJI SAINI MRADI WA UJENZI NA USANIFU BANDARI YA MBAMBA BAY
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.