• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAKULIMA wa Kahawa wampongeza DED Nyasa

Posted on: February 4th, 2022

Wakulima wa zao la Kahawa Wilayani Nyasa wamempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Ndugu Jimson Mhagama kwa kutatua changamoto za kilimo cha zao hilo na Kuwahamasisha kulima zao la kahawa na kuuza katika Vyama vya ushirika  hali inayowapa kipato bora.

Wakulima wa Kata ya Kingerikiti, Luhangarasi, na Mpepo wamesema hayo katika Mikutano ya Vyama vya  Msingi vya mazao na masoko (AMCOS) katika mikutano iliyofanyika ya malipo ya kahawa ya msimu wa pili Wilayani hapa.

Wakulima hao wamefafanua kuwa wanampongeza mkurugenzi kwa kwa kutatua Changamoto za kilimo, na kuwahamasisha kulima kilimo cha kisasa chenye tija kinachowapa mafanikio Makubwa ambayo ni, mafunzo ya kilimo bora ya kahawa,Mbegu bora za kisasa, Pembejeo wanapata kwa  wakati na Soko la uhakika  nje ya nchi  bila kwenda mnadani hali inayowapa kipato cha uhakika tofauti na hapo awali.

Wameongeza kuwa mafanikio waliyopata msimu huu ni Bei ya Kahawa kupanda na kufikia wastani wa Tsh 350,000 kwa gunia na kununua vyombo vya usafiri, magari na pikipiki na wameweza kuimarisha uchumi wao.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • UTEKELEZAJI KAMPENI YA CHANJO YA MIFUGO YAANZA NYASA

    July 12, 2025
  • MAKUNDI SOGOZI YA WHATSAAP YAPASWA KUJADILI MAENDELEO

    July 12, 2025
  • DC MAGIRI AZINDUA RASMI BODI YA MAJI WILAYA YA NYASA

    July 12, 2025
  • DKT.SAMIA AMWAGA TENA MAMILIONI YA MIRADI NYASA

    July 10, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.