• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAKAZI WA WILAYA YA NYASA WAHAMASISHWA KUTUMIA FURSA ZA BARABARA NA MELI KUKUZA UCHUMI

Posted on: February 3rd, 2021

Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nyasa, leo wameadhimisha miaka ya 44 ya Kuzaliwa kwa Chama hicho, kwa kukagua Meli ya Abiria na Mizigo ya MV MBEYA II,  na Kusafisha Kiwanja cha kujenga Ofisi ya Chama katika Kata ya Kilosa Wilayani Hapa.

Akizungumza katika maadhimisho ya Miaka 44 ya kuzaliwa kwa CCM,  Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilayani hapa Abdul Sikitiko amesema, Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha CCM, Wilayani hapa imeadhimisha Sikukuu ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwa kufanya shughuli mbili kubwa,   kwa lengo la kuthamini kazi zinazofanywa na chama na kuamsha ari wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi ili kujiletea maendeleo.

Amezitaja kazi walizofanya ni Kukagua Meli ya Mv Mbeya II, katika Bandari ya Mbamba Bay, ili kutoa hamasa kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na Wananchi wengine ili waitumie Meli hiyo kufanya shughuli za kiuchumi na kujiletea maendeleo, kwa mtu mmoja mmoja. Aidha kazi Nyingine aliyoifanya na wanachama ni kusafisha Kiwanja cha ujenzi wa Ofisi ya Jumuiya hiyo kilichopo katika Kata ya Kilosa Wilayani Hapa, ambacho kitajengwa Ofisi ya Jumuiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Nyasa.

Bw Sikitiko ameongeza kuwa, Jumuiya ya wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni Msingi wa Chama cha Mapinduzi, hivyo wanachama wana  jukumu kubwa la kuhakikisha Ustawi wa chama unakuwepo, kwa kuwa Jumuiya hii hulea  jumuiya zote za Chama cha Mapinduzi  na jumuiya hiyo imekabidhiwa mamlaka ya kushughulikia masuala ya Elimu,Afya na Mazingira.

“Ninayofuraha kubwa kusheherekea sikukuu hii ya kutimiza miaka 44 ya  chama chetu cha CCM. Nichukue fursa hii kuwashukuru wale wote waliohudhuria sharehe hizi kwa kuwa kwa mwaka huu sisi kama Jumiya ya Wazazi wa CCM Wilaya ya Nyasa tumeamua,  kuadhimisha Sherehe hizi kwa kukagua meli ya Mv Mbeya II,  meli ambayo ni kiunganishi au kichochea ukuaji uchumi kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa na Mkoa wa Ruvuma pamoja na Nchi ya Malawi na Msumbiji, Hivyo tutahakikisha sisi wanajumuiya tunahamasisha wananchi waweze kuitumia meli hii kwa kujiletea maendeleo. Na kazi nyingine iliyofanyika ni kufanya usafi katika kiwanja ambacho tunatarajia kujenga Ofisi ya Jumuiya ya Wazazi wa CCM” Alisema Sikitiko

Aidha ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa kufanya kazi kwa juhudi na kujiletea maendeleo kwa kutumia miundombinu ya barabara na meli kwa kuwa Wilaya ya Nyasa Imefunguka.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.