• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAGANGA WAKUU WA ZAHANATI NYASA WAPEWA MAFUNZO

Posted on: September 17th, 2019

Waganga wakuu wa vituo vya Afya na Zahanati za serikali Wilayani Nyasa, wamepatiwa mafunzo ya siku moja  ya kuwajengea uwezo jinsi ya  kupunguza na kuzuia vifo vya akina mama wajawazito,na watoto chini ya miaka mitano.

Mafunzo hayo yametolewa na Timu ya uendeshaji huduma za afya ya wilaya ya Nyasa (CHMT), na yamefanyika hivi karibuni katikaUkumbi wa Kepteni John Komba, uliopo katika Kata ya Mbamba-bay wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma.

Kaimu Mganga mkuu wa Wilaya ya Nyasa Engtrauda Ngondora wakati akifungua Mafunzo hayo, aliwataka waganga wakuu wa Zahanati na Vituo vya Afya  kutoa huduma bora za Afya katika maeneo yao, na kushirikiana vema na wananchi ili kutatua Changamoto mbalimbali za  kiafya, na miundombinu ya  vituo vya afya na zahanati zaSerikali Wilayania hapa.

Ngondora aliongeza kuwa, kwa sasa Wiaya ya Nyasa tunatakiwa kuwa mfano wa utoaji huduma bora kwa wananachi kitaifa,ili jamii ipate huduma bora za kiafya na kuwa na wananchi wenye afya njema ilikupiga hatua za kimaendeleo.

Aidha aliongeza kuwa katika mafunzo hayo wametumia mifano ya kijiji cha Utulo ambacho kimefanikiwa kupiga hatua zakimaendeleo na kuleta tija, katika sekta ya afya, lakini kwa wilaya ya Nyasa walianza na Zahanati ya Chiulu ambayo kwa mwaka wa 2017-2019 kulikuwa na tatizola  vifo vya akinamama wajawazito nawatoto chini ya miaka mitano.  baada ya kuishirikisha jamii tatizo hili limekwisha na wakaona watoe mafunzo hayo kwa watoahuduma za afya kwa Zahanati na Vituo vya afya vya  Serikali  wilayani hapa.

“Tatizo hili la vifo vya akinamama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano, linawezekana kutokomea wilayaninyasa kwa kuishirikisha jamii kama tulivyofanya katika Zahanati yetu ya chiulu. Awali tatizo lilikuwa kubwa lakini mara baada ya kuishirikisha jamii wajawazito wote wmehudhuria zahanati na kupata huduma za kiafya kwa wakati”alisema Ngondora

Aidha aliwapongeza waganga wakuu waZahanati ya Kilindinda, Njambe,Chiulu na Chinula kwa kuwa hata kabla ya Mafunzohaya, walikuwa tayari wameshaanza kutekeleza mradi huu kwa kuishirikisha jamii,na  kutatua baadhi ya changamoto zilizopokatika Zahanati zao.

Katika mafunzo haya  waganga wakuu hao waliema  wamewekeana mikakati mbalimbali yenye lengo lakutokomeza vifo vya akinamama wajawazito na watoto chini ya miaka mitano kwakuishirikisha jamii kikamilifu  nahatimaye kupunguza na kutokomeza vifo hivyo Wilayani hapa. 

Wilaya ya Nyasa ina Zahanati ishirinina moja  (21) na Vituo  vya afya vinne (4).

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.