• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAGANGA wafawidhi Nyasa Wapewa mafunzo ya Kuzuia Rushwa, Utawala Bora

Posted on: January 24th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Tarehe 24/01/2023 inatoa mafunzo ya siku mbili kwa Waganga wafawidhi wa Vituo vya kutolea huduma za Afya, yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kuzuia Rushwa na kusimamia mapato, na nidhamu kwa watumishi.

Mafunzo hayo ya Siku mbili yanatolewa katika Ukumbi wa Hospitali ya Wilaya ya Nyasa iliyopo katika Kijiji cha Nangombo Wilayani Nyasa.

Akifungua Mafunzo Hayo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa Mh.Stewart Nombo amewataka waganga hao  kuzingatia mafunzo hayo yanayolenga kuboresha utoaji wa Huduma za afya bora kwa wananchi wa Wilaya ya Nyasa, ili kuepuka malalamiko kutoka kwa wananchi.

Ameongeza kuwa Lengo la mafunzo hayo ni kutoa elimu ya Kuzuia Rushwa matika maeneo yao, kuboresha huduma katika Vituo vya kutolea huduma za afya, na kituo kujiendesha kwa mapato ya Ndani, na kusimamia Utawala bora katika Vito vyao.

“Niwatake waganga wafawidhi wa Vituo vyote vya afya  Wilayani Nyasa, kuzingatia mafunzo haya ambayo mtapewa yatatusaidia kuboresha utendaji kazi katika kuzuia Rushwa, na kuongeza ufanisi wa utoaji huma ya afya ambayo ni Sekta muhi katika Ustawi wa jamii”.

Akiwasilisha mada ya Kuzuia Rushwa, Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Dioniz Slvanus amewataka waganga Wafawidhi Wilayani Nyasa kufuata taratibu na misingi ya kazi zao ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Ameongeza kuwa Taasisis yao imejipanga zaidi kuzuia Rushwa Wilayani hapa kwa kutoa elimu kwa Viongozi na wananchi ili wazuie Rushwa na huduma bora itolewe kwa wananchi.

Mafunzo haya ni ya siku mbili yaliandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Nyasa ili kuwajengea uwezo waganga hao.

Imeandaliwa na

Netho c.Sichali

Afisa Habari,(W) Nyasa 0767417597

Announcements

  • Tangazo la ugawaji wa vibanda vya standi ya kilosa Wilayani Nyasa October 28, 2022
  • Tangazo la watumishi na wananchi waopenda kimiliki mashamba ya korosho litoromeo November 03, 2022
  • TANGAZO la nafasi ya kazi February 03, 2023
  • TANGAZO LA KAZI NYASA DC (MTENDAJI WA KIJIJI) August 18, 2021
  • View All

Latest News

  • Wilaya ya Nyasa yaadhimisha siku ya Sheria,DC Nyasa ajitambulisha na kutoa Wito kwa wakazi wa Nyasa

    February 01, 2023
  • KISIWA cha Lundo Wilayani Nyasa.

    January 27, 2023
  • Utalii wa Fukwe za Asili Wilayani Nyasa

    January 27, 2023
  • MLIMA MBAMBA fahari ya Nyasa

    January 26, 2023
  • View All

Video

TAKUKURU Nyasa yatambulisha Program ya TAKUKURU Rafiki
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.