• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Nyasa District Council
Nyasa District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Nyasa District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Organisation Structrure
  • Services
    • Water services
    • Education services
    • Health services
  • Administration
    • Organization Structure
    • Departments
      • primary education
      • secondary education
      • planning,statistics and monitoring
      • Agriculture,Irrigation and Cooperative
      • Community Development, Social Welfare and Youth
      • Administration and Personnel
      • Works and Fire Rescure
      • Environmental and Sanitation
      • Livestock and Fisheries
      • Water
      • Land and Natural Resource
      • Health
    • Unity/Sections
      • Information and Communication Technology
      • Legal
      • Internal Auditor
      • Procurement and Supply
    • Full Council
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
      • Tourist attraction-Nyasa dc Video
    • speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events
  • Projects
    • Completed projects
    • On Progress project

WAFUGAJI WA NG’OMBE WA MAZIWA WILAYANI NYASA WAPATA MSUKUMO MPYA.

Posted on: August 13th, 2018

Wafugaji wa ng’ombe ambao pia ni wazalishaji wadogo wa maziwa wamepatiwa elimu itakayowasaidia kuongeza uzalishaji wa maziwa kutoka litalita nne( 4- 7)kwa sasa mpaka lita ishirini na tano(25) kwa siku baada ya mafunzo ili kujiongezea kipato na uchumi wilayani Nyasa.

Elimu hiyo imetolewa na Afisa mifugo na maendeleo ya uvuvi  Wilayani hapa, Bw. Bernard Semwaiko kwa wafugaji wa kikundi cha Mwongozo ambacho kinajishughulisha na ufugaji wa  ng’ombe wa maziwa kilichopo kijiji cha Ndesule Kata ya Mbambabay .

Semwaiko amefafanua kuwa kwa sasa Wilayani hapa kuna fursa nyingi ambazo ukizitumia mkazi wa Nyasa utakuza uchumi wako kwa Mfano: Akataja sekta ya ufugaji ng’ombe na uzalishaji wa maziwa.  kuwa maziwa yanahitajika sana kwa wakati huu hususani Inapotengenezwa barabara ya Mbinga- Mbambabay kwa kuwa wafanyakazi wanahitaji kunywa maziwa kila siku na upanuzi wa bandari  unapokaribia pia mahitaji ya maziwa yapo kwa kiasi kikubwa.

Aliongeza kuwa serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuingiza kiasi kisichopungua Bilioni 152, hivyo watumie fursa hizo kuongeza uzalishaji wa maziwa na kufuga Ng’ombe kisasa ili kuongeza kipato cha mfugaji mmoja mmoja pia akabainisha kuwa kwa sasa mbambabay  inafunguka kiuchumi kwa kuwa na mlango wa kwenda Nchi jirani ya Msumbiji na Malawi hasa bandari inapoanza kufanya kazi.

Pia alibainisha kuwa wanakikundi hao walipewa Rai ya kuimarisha kikundi chao ambacho kitatumiwa kuwa shamba darasa kwa ajili ya kuwapa Elimu ya ufugaji bora na kuwaunganisha na soko la maziwa wanayozalisha na kuwaunganisha na Tasisi za kifedha  ili kuongeza mitaji.

Wanakikundi hao walifarijika na Elimu hiyo na kuahidi kuitumia vema kwa kuzalisha maziwa mengi zaidi baada ya kuhakikishiwa soko la maziwa hayo lipo,

 Naye Mmkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Nyasa  Dkt. Oscar Mbyuzi kwa gharama zake amewekeza kwenye sekta ya mifugo kwa kuingiza ng’ombe Bora wenye mimba kutoka Mkoa wa Iringa ambao wanazalisha maziwa yakutosha lita 25 kwasiku moja kwa sasa anakamilisha  Ujenzi wa mazizi bora na eneo analofugia ataliweka wazikama kituo cha kujifunzia wafugaji ndani na nje ya Wilaya.

Announcements

  • Fursa ya kuwekeza kilimo cha Korosho shamba Wilaya ya Nyasa October 24, 2024
  • TANGAZO la kuitwa kwenye Usaili wa waandishi Wasaidizi na waendeshaji Vifaa vya Bayometriki (BVR) December 18, 2024
  • TANGAZO LA KUHAKIKI UMILIKI WA ARDHI NYASA August 30, 2021
  • MAREKEBISHO YA TAREHE YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 17, 2022
  • View All

Latest News

  • Jela maisha Kwa Ubakaji

    May 27, 2025
  • Msigwa aipongeza Tamisemi kikao maafisa habari

    May 24, 2025
  • SERIKALI ilivyodhamiria kuboresha Barabara na madaraja

    May 23, 2025
  • Mwenge wa Uhuru wapitia miradi 76 mkoa wa Ruvuma

    May 17, 2025
  • View All

Video

TUNAMPONGEZA Rais Samia kwa kutuletea maendeleo Nyasa na kumteua Dkt Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza
More Videos

Quick Links

  • Ruvuma Regional Website
  • Songea Municipal Website
  • Songea District Website
  • Mbinga Town Website
  • Mbinga District Website
  • Madaba District Website
  • Tunduru District Website
  • EGA WEBSITE
  • Namtumbo District Website

Related Links

  • National website
  • TAMISEMI
  • Wizara ya Fedha
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistic

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact Us

    Nyasa District Council

    Postal Address: Box 90 Mbamba bay

    Telephone: 025 -2952003

    Mobile:

    Email: ps.ded@nyasadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Nyasa District Council. All rights reserved.